Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

Weye ndiye uliyekuja na hoja kwamba ili Ardhi iwe yako lazima ije na maandiko kwenye Quran ambapo hilo jambo halipo.

Tafufa mtu akusaidie kutafsiri aya za Qran vizuri Allah anaposema "Enyi watu wangu" huwa kamkusudia nani
Sina haja ya kumtafuta mtu ,Aya zinajieleza
 
Huyo Mgawa Ardhi kwanini hakutengeneza Ardhi kubwa ili kila mtu awe na sehemu kuliko kuwapa baadhi na sio wengine hence kuleta hizi shida ?!!!

Yaani unataka kusema alikuwa hana Foresight ?; Hizi Justification za Kipuuzi zinatumika katika kukandamiza wengine; huwezi kusema wapalestina ni wavamizi wakati wapo sehemu inaitwa Palestina kwa kutumia vifungu ambavyo ni vya kusadikika na wote wa leo hawakuwepo wakati huo... Ila wakati wote tupe haya tumeyaona....
 

Attachments

  • 1739007170329.png
    1.2 MB · Views: 2
Haya tufanye umeshinda basi. Tusubiri wawaondoe hao wapalestina kama wataweza. Kamwe hawataweza. Ikifika hiyo siku yaani Wapalestina wote wameondolewa pale niite mbwa kabisa.
IT WILL NEVER HAPPEN I'M SURE 💯
Unabii lazima utimie

Unabii wa Amosi (Amosi 1:6-8)
Amosi anatabiri hukumu juu ya Gaza

 
Nilidhani utajibu kuhusu hii MADA.
Nagawa wastani kutokana na idadi mnavyokuja....nijibu nini mie nina undugu nao hao wapelistina au waisraeli?..sio kuleteana porojo porojo...mleta mada ndo utuambie hao wavamizi wa kipelistina kwao ni wapi?..yanii mwenyezimungu tokea aumbe dunia ni wapelistina pekee yao ndo hawana kwao?..ilhali Mende tuu ana makazi?
 
Kama Israel haikuwa state,Why Daudi awe mfalme?Alikuwa mfalme wa ukoo?Kumbuka wakati wa Daudi kulikuwa na nabii Samuel na Nathan!
 
Ulisoma jibu lake lilikua linaendana na mada?..wewe kwani unaiamini Quran yote au ni hicho kipande cha aya ndo umepa amini?...Quran pekee yake ndo iseme waisraeli kwao ni hapo ishndw kusema waarabu kwao ni wapi..hata Saudia tu haijatajwa kama kwao ni hapo sembuse wapelistina tena kwa kiarabu hicho hicho ila iseme waisraeli tu?..
Mgalatia hicho ni kisa cha Nabii Mussa na Bani Israel walivyokosa shukrani kwa mwenyezimungu mpk wakakufuru ikapelekea washndwe kufika kanan na mpk Nabii Mussa akafariki..tunakumbushwa sisi waumini tuwe wenye shukrani tunapopewa neema za mwenyezimungu sio kukengeuka...Nabii Mussa ametajwa mara nyng kwny Quran hasa hasa hichi kisa na Bani Israel baada ya kuwatoa utumwani miaka karibia 400 kutoka kwa mtu aliyejiita mungu.
Hapo ndo tunapata neno Alhamdullilah kwa lolote linakukuta mja wa mwenyezimungu....lkn si kweli eti iliainisha hapo ni kwao...hakuna sehemu hata moja Quran iliainisha waarabu kwao pale na waisraeli kwao pale au kabila fulani mana'ke zamani hapakua nchi waliishi kikabila...sasa ndo mie nimemuuliza kama hapo si kwao ni wapi patakua ni kwao?..na mkimbizi gani anabembelezwa ajengewe nyumba nzuri?
 
Sina haja ya kumtafuta mtu ,Aya zinajieleza
Naendelea kusubiri basi andiko Allah anasema ''Ardhi ya wapalestina tumewapa wana wa Israel''

Israel ni taifa bandia kuasisiwa kwake ni mwka 1948 baada ya vita ya pili ya dunia, Netanyahu na wenzao walikuja kwenye ardhi ile kama wageni tu (diaspora) hakuna myahudi ata mmoja umuonae leo kwenye ardhi ile aliyefanana na mtu yeyote katika ukanda ule wa mashariki ya kati wale wote ni wageni sio kwao pale na muda utafika tuu kumalizana nao Quran inatufundisha hivyo pia.
 
Y

Yaan ukwel uliokufanya ukahama uislam
Mwingi tu kwanza niliwapiga maswali machache MASHEIKH wakashindwa kujibu na nilikuwa mdogo kama miaka 17 au 18 hivi ndani ya MSIKITI nipo na baba yangu ambaye ni muislamu,

Walijua sijui kitu , hoja zao zilikuwa mitume na manabii had Yesu alikuwa muislamu na aliingia kwenye sinagogi na sinagogi ni MSIKITI

Hizi hoja zao kwa umri wangu walijua sichomoi lkn ,kusoma kwangu na kutafiti ,nilizioangua na wakakosa majibu

Ninachojivunia NILIUKANA UISLAMU NDANI YA MSIKITI ,nilimkiri Yesu kristo ndani ya MSIKITI , hili tukio siwezi kulisahau ,

Uhusiano wangu na Mzee wangu ulikufa hapo mpaka Leo tunasalimiana kwa Whatsapp tu ,since 2011 hiyo nazungumzia
 
Uislam haujagswa elimu ya dunia na elimu ya akhera.

Pili quran ilipowataja Waisrael, Wayahudi na Manaswara na waliopewa kitabu ni jamii tatu tofauti.

Waisral ukoo na wafuasi wa nabii Yakobo.

Wayahudi na manaswara ni wale wanaosema wanawafata musa na yesu ilhali wako mis informed kwa maana ni Wazayuni na wakristo wa leo.

Halafu kuna waliopewa kitabu. Hawa ni wafuasi halisi wa musa walioteswa na firauni na wafuasi wa yesu walioteswa na paulo kupitia dola ya rumi.

wakati wafuasi halisi wa yesu na musa walikuwa ktk nchi inayoitwa Palestine, wafuasi bandia wa yesu wakaanzisha Antiokia Italia. Na wafuasi bandia wa musa walianzia ulaya kama watumwa ktk mashamba ya wazungu hadi walipofurushwa na Hitler

Kwa hiyo Quran inapotaja historia ya Bani Israel ilikuwa inakuwakumbusha waislam wa leo kuwa kama walivyoanganizwa na waislam kwa ukaidi ndivyo watu wa zama zake watavyoangamizwa. Zama za Muhammad ni pamoja na mimi na wewe.
 
Qur'an inaeleza kuhusu Wana wa Israeli kupewa ardhi katika aya kadhaa. Baadhi ya aya zinazohusu jambo hili ni:

1. Surah Al-Ma'idah (5:20-21)
"Na (kumbukeni) Musa alipowaambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu, alipofanya manabii miongoni mwenu, na akakufanyeni wafalme, na akakupeni aliyo kukupeni ambavyo hakuwapeni yeyote katika walimwengu. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekukadirieni, wala msirudi nyuma, wasije wakawa wenye kukhasirika."


2. Surah Al-A'raf (7:137)
"Na tukawarithisha watu walio kuwa wanadhununikwa mashariki na magharibi ya nchi tuliyoibariki. Na likatimia neno jema la Mola wako Mlezi kwa Wana wa Israili kwa sababu ya subira yao. Na tukaharibu kabisa waliyo kuwa wakiyatenda Firauni na watu wake na wakaweza kuwa na majengo na mashamba."


3. Surah Al-Isra (17:104)
"Na baada yake tukawaambia Wana wa Israili: Kaeni katika nchi. Na itakapofika ahadi ya Akhera, tutakuleteni kwa mkusanyiko."

LETA AYA KWENYE QURAN AU GAZETI ,ALLAH ALIWAHI KUWAPA PALESTINE ARDHI HAPO ISRAEL
 
Shida yenu ni moja tu hamsomi historia inasemaje kuhusu waisraeli, historia ipo wazi

Kwanza, si sahihi kusema kuwa Qur’an inawataja Waisraeli, Wayahudi, Manaswara, na waliopewa Kitabu kama makundi tofauti kabisa. Qur’an inataja Bani Israil kama ukoo wa Nabii Yakobo, lakini haijawagawanya kwa mtindo huu uliotajwa. Wayahudi na Manaswara wote wanahesabika kuwa ni sehemu ya "Ahlul Kitab" (Watu wa Kitabu), kwa sababu walipokea ufunuo kutoka kwa Mwenyezi Mungu kupitia Taurati na Injili.

Pili, si kweli kuwa Wayahudi wa sasa wote ni Wazayuni au kwamba Ukristo wa leo umetokana na Wakristo bandia wa Antiokia. Zionism ni harakati ya kisiasa iliyoanza karne ya 19, wakati Wayahudi walikuwepo kabla ya hapo kwa maelfu ya miaka. Vile vile, Ukristo ulikuwa umesambaa sehemu nyingi za dunia kabla ya Antiokia kuwa kitovu cha Ukristo wa Kirumi.

Tatu, hoja kwamba wafuasi wa Musa walihamia Ulaya kama watumwa wa Wazungu hadi walipofurushwa na Hitler ni potofu. Wayahudi waliishi Ulaya kwa karne nyingi, wakitoka sehemu mbalimbali za dunia, lakini si kweli kwamba wote walikuwa watumwa. Uhamisho wao ulitokea katika vipindi tofauti vya historia, na mateso yao yalihusiana na siasa na chuki za kikabila zaidi ya imani.
 
Allah wako alisema atawakusanya awarudishe nchi Yao

😂😂😂😂😂😂😂

Surah Al-Isra (17:104)
"Na baada yake tukawaambia Wana wa Israili: Kaeni katika nchi. Na itakapofika ahadi ya Akhera, tutakuleteni kwa mkusanyiko.
"
 
Kumalizana nao ni ndoto ya Alinacha mkuu.Wao ndio watawamaliza
 
Kobazi watayakana maandishi ya mtume wao feki,wao walishakaririshwa ujinga kwamba adui yao ni uyahudi na ukristo ndio mana wanafukuana mitaro majumbani mwao mana sio dhambi,dhawabu kwao ni kuua wayahudu na wakristo.
 
Akili za kobazi wanazijua wao,sasa ndio uharo gani huu umeandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…