Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

Ohooo
 
Surat Al-Baqarah (2:122)

يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذكرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliowapa ninyi, na kuwa mimi niliwafadhilisha juu ya walimwengu."

Aya hii inathibitisha kwamba Wana wa Israel walifadhiliwa na Mwenyezi Mungu, na inasisitiza kuwa walikuwa na cheo cha kipekee na nafasi ya mbaraka. Kwa tafsiri moja, hii inaweza kueleza kuwa walikuwa na haki ya ardhi hiyo
Aya zinathibitisha kuwa Waisrael ni wavamizi , walikuta watu na maisha yao
 
Alizotoa mtoa thread hujasoma?
Unajua kusoma ?

Surat Al-Baqarah (2:122)

يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذكرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
"Enyi Wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliowapa ninyi, na kuwa mimi niliwafadhilisha juu ya walimwengu."

Aya hii inathibitisha kwamba Wana wa Israel walifadhiliwa na Mwenyezi Mungu, na inasisitiza kuwa walikuwa na cheo cha kipekee na nafasi ya mbaraka. Kwa tafsiri moja, hii inaweza kueleza kuwa walikuwa na haki ya ardhi hiyo.
 
Mbona unajichanganya sana na hizi aya, huyo aliekuambia kwamba hizi aya zinazungumzai Palestina kuvamia Israeli,amekulisha matango pori ya Kutosha.
Onyesha aya katika Qurani inayoonyesha Palestina ilikuwa tofauti na hapo ilipo sasa ?
Kwa akili za kawaida,leo Uganda Waivamie Tanzania,halafu aje mtu aseme kuwa Raisi akawaambia watu wa Uganda,Ingieni Humo katika Nchi,Mkafurahie Maisha, Je Huyo mtu atakuwa kawaambia hao watu waingie Uganda au Waingie Tanzania ?
 
Hii haina maana hawakuwa wavamizi, hawa ni wavamizi
 
Allah wako anawatambua wenye Ardhi ni Israel

Leta ww Aya kuwa anawatambua WAPALESTINA

Acha porojo
 
Fadhila za kuvamia maeneo ya watu, huo ni uvamizi
 
Hii haina maana hawakuwa wavamizi, hawa ni wavamizi
Unabishana na Allah?TUKUSIKILIZE WEWE mla Biriani au Allah?

Surat Al-Ma'idah (5:21), Nabii Musa anawaambia Wana wa Israel:

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni..."

Neno "كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ" (ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni) linaweza kufasiriwa kama haki ya milele ya Wana wa Israel juu ya ardhi hiyo, kwani Qur’an haitaji kuwa haki hiyo iliondolewa.
 
Wote ni wavamizi , unarithi vip wakati huna undugu na mwenye eneo
Kwahiyo Allah ni tapeli?

Surat Al-Isra (17:104):

وَقُلْنَا مِن بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ

"Na tukawaambia baada yake Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi."
 
Allah yuko wazi hao hawajazaliwa hapo ni wavamizi tu
 
Kwahiyo Alaumiwe Allah si ndio ?

Maana ndiye anayesema hayo maneno
 
Hakuna utapeli wewe ndio huelewi kuwa Israel hapo ni mvamizi sio kwao kwa asili chimbuko la babu yao
 
Allah yuko wazi hao hawajazaliwa hapo ni wavamizi tu
Kwahiyo Allah yupo sahihi kuwapa Ardhi ?🤣🤣

Surat Al-Isra (17:104):

وَقُلْنَا مِن بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ

"Na tukawaambia baada yake Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi..."
 
Hakuna utapeli wewe ndio huelewi kuwa Israel hapo ni mvamizi sio kwao kwa asili chimbuko la babu yao
Kwahiyo Allah alikosea kusema hivi?

Surat Al-Isra (17:104):

وَقُلْنَا مِن بَعْدِهِ لِبَنِي إِسْرَائِيلَ اسْكُنُوا الْأَرْضَ

"Na tukawaambia baada yake Wana wa Israel: Kaeni katika ardhi..."
 
Si unaona walikuta watu kwenye hizo aya ulizotoa,hao watu ni akina nani?..kama walivunja masharti ya kupewa hiyo nchi,kivipi bado unang'ang'ana ahadi bado ipo?..unadandia tu vitu toka mtandaoni bila tafakuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…