Wapalestina sio watu wakuwapa msaada makazi ndio maana waarabu wenzao waligoma

Hamas wamemwomba Trump awaambie Wayahudi wasitishe vita kwa siku 60 na wao wataachia nusu ya mateka.Trump anataka waachie wote.
 
Huwezi kukwepa dini kwenye huu mgogoro labda ujitoe fahamu tu
si ndo maana mnapokezana muda wa kushangilia ushindi unafikiri wanaoshangilia hii era ya kuanzia 1948 walikua kua na uwezo wa kushangilia miaka 400 nyuma ? na vice versa

na mnaokata kuweka chini hivyo vitabu ndo mnaosema unabii unatimia kwa kua kundi fulani lifukuzwe na mnajificha kwenye kichaka cha "upendo" na "haki" --- hivyo vitabu vimeleta madhara makubwa sana kwenye huu ulimwengu
 
Hamas wamemwomba Trump awaambie Wayahudi wasitishe vita kwa siku 60 na wao wataachia nusu ya mateka.Trump anataka waachie wote.

msikilize harry truman hapa sauti inaanza kusikika sekunde ya 24. alafu utasema mwenye kama kuna mtu mwenye uhalali wa kumuita mwenzake gaidi hapo middle east


View: https://www.youtube.com/watch?v=N0DvO72fuG4
In this Screen Gems outtake with intermittent sound, former president Harry S. Truman discusses the challenges that came of establishing Israel in territory claimed by Palestinians. He stands before a map of the Middle East and says, in part, "you can't move five or six million people out of a country and fill it up with five or six million more and expect both sets of them to be pleased."
 
Wasomali wenyewe zaidi ya nusu wako nje kama wakimbizi, dini na ukabila ni mambo ya hovyo sana
 
Wasomali wawekwe pamoja na Wayahudi
 
Truman anasema Wayahudi walianguka toka mbinguni wakatua mashariki ya kati ama?. wengine lugha inatusumbua.
 
Truman anasema Wayahudi walianguka toka mbinguni wakatua mashariki ya kati ama?. wengine lugha inatusumbua.
english transcript

[silent]
...Roy Anderson was one of them. We had several other people in the country,
even among the Jews, the Zionists particularly who were against
anything that was to be done if they couldn't have the whole of Palestine and everything
handed to them on a silver plate so they wouldn't have to do anything.
It couldn't be done. We had to take it in small doses.
You can't move five or six million people out of a country and fill
it up with five or six million more and expect both sets of them to be pleased.
We had all sorts of objections to everything that was done. Something had to be done.
We went ahead and done it and had it done, and now it's working out.
Eventually I think we'll have them all satisfied but it's
going to take a great deal of time yet to get the job done.
[off camera]: Could you tell us that they were worried about the war with the Arabs?


swahili transcript by Ai - copilot

“…Roy Anderson alikuwa mmoja wao. Tulikuwa na watu wengine kadhaa nchini,hata miongoni mwa Wayahudi, hasa Wazayuni, waliokuwa wakipingachochote kilichotakiwa kufanyika iwapo wasingepewa Palestina yotena kila kitu kikiwa kimekabidhiwa kwao kwa urahisi bila wao kufanya chochote.

Haingewezekana. Tulilazimika kuchukua hatua kidogo kidogo.Huwezi kuwahamisha watu milioni tano au sita kutoka nchi mojana kuijaza kwa watu wengine milioni tano au sita naukatarajia pande zote mbili zifurahie.

Tulikuwa na pingamizi za kila aina kwa kila jambo lililofanywa.Lakini jambo fulani lilipaswa kufanyika.Tuliendelea na tukalifanya, na sasa linaanza kuzaa matunda.

Hatimaye nafikiri wote wataridhika, lakiniitachukua muda mrefu sana kukamilisha kazi hii.

[nje ya kamera]: Je, unaweza kutuambia kama walikuwa na wasiwasi kuhusu vita na Waarabu?”
 
Hakuna watu wapumbavu na jamiii ngumu kuishi na wengine kama wayahudi
 
Reactions: Lax
Hivi hawa wapalestina wanaweza kuishi pamoja na watalebani? Maana ni waislam kindakindaki, au kuna tofauti ya imani hiyo? Wote hawa ni wapenda vita na imani kali ya kiislam, jihadi, mujahidina
Hamas/wapalestina ni wapigania uhuru kama ilivyo kuwa kwenye nchi zingine
 

Kwani wewe, UN, na mataifa yote duniani yakose uelewa ila wewe? Bure kabisa!
 
Culture pia zina matter.
Kuwa dini moja haimaanishi kuwa ndio lazima waelewane.
Yaani ni sawasawa wewe mkristo wa Tanzania uende ukaishi na wakristo wa Congo au wa Sudan au Nigeria kuna vitu lazima mtakuwa mnapishana vya kiutamaduni na kimazingira.
Kama ulishawahi kuishi na watu wa kutoka Nigeria utanielewa kwa mfano waNigeria wakiwa wanaongea story za kawaida tu huwa wanafoka na kufyonya kama ugomvi sasa kama haujawazoea utakuwa unagombana nao kila siku.
 
Huyo ni tapeli tu labda kama humjui,siwez kupoteza mb zangu kijinga
 
Wapalestina wameletwa na mrumi hapo

Ni wavamizi na wataondolewa ,nyie pigen kelele tu
 
Vitabu vya kipumbavu sana
 
Huyo ni tapeli tu labda kama humjui,siwez kupoteza mb zangu kijinga
clip ya dakika moja na nusu. kwenye tapeli sikai na haiishii kwa yeye bali kwa marekani na israel kwa ujumla wake

Wapalestina wameletwa na mrumi hapo

Ni wavamizi na wataondolewa ,nyie pigen kelele tu
hoja ni kwamba kama hawa wengine wametolewa ulaya ikiwa imeshapita miaka mingi sana toka watolewe hapo middle east kuwarudisha na kuwafurusha wale ambao walikuepo ni utapeli.

kuondolewa alafu waende wapi? hili swali ndo swali ambalo huwezi jibu. ---- hii dunia kila mtu ni mgeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…