Wapalestina sio watu wakuwapa msaada makazi ndio maana waarabu wenzao waligoma

Wapalestina sio watu wakuwapa msaada makazi ndio maana waarabu wenzao waligoma

clip ya dakika moja na nusu. kwenye tapeli sikai na haiishii kwa yeye bali kwa marekani na israel kwa ujumla wake

hoja ni kwamba kama hawa wengine wametolewa ulaya ikiwa imeshapita miaka mingi sana toka watolewe hapo middle east kuwarudisha na kuwafurusha wale ambao walikuepo ni utapeli.

kuondolewa alafu waende wapi? hili swali ndo swali ambalo huwezi jibu. ---- hii dunia kila mtu ni mgeni
Waende kwa waarabu wenzao ,unadhani kwanini waarabu wenzao hawataki hata kuwasikia?
 
Waende kwa waarabu wenzao ,unadhani kwanini waarabu wenzao hawataki hata kuwasikia?
same argument can be used for your cherished european jews masta, na issue sio suala la waarabu kuwataka,
mkiishaanza kutumia vitabu , muisrael anataka wale waondoke wasiwepo na wapalestina nao wanasema inabidi wapambane kuwatoa waisrael.

na issue ya waarabu kugoma kuwachukua muanzilishi wa hii ni muisrael "policy of no return" -- kwa hiyo genge linaloshawishi waondoke ni wanawala timing wakiondoka kama kawaida wanawakatalia kurudi

mku sio kama hivi vitu huelewi au huoni ila umejinga kwenye dini na maandiko
 
english transcript

[silent]
...Roy Anderson was one of them. We had several other people in the country,
even among the Jews, the Zionists particularly who were against
anything that was to be done if they couldn't have the whole of Palestine and everything
handed to them on a silver plate so they wouldn't have to do anything.
It couldn't be done. We had to take it in small doses.
You can't move five or six million people out of a country and fill
it up with five or six million more and expect both sets of them to be pleased.
We had all sorts of objections to everything that was done. Something had to be done.
We went ahead and done it and had it done, and now it's working out.
Eventually I think we'll have them all satisfied but it's
going to take a great deal of time yet to get the job done.
[off camera]: Could you tell us that they were worried about the war with the Arabs?

swahili transcript by Ai - copilot

“…Roy Anderson alikuwa mmoja wao. Tulikuwa na watu wengine kadhaa nchini,hata miongoni mwa Wayahudi, hasa Wazayuni, waliokuwa wakipingachochote kilichotakiwa kufanyika iwapo wasingepewa Palestina yotena kila kitu kikiwa kimekabidhiwa kwao kwa urahisi bila wao kufanya chochote.

Haingewezekana. Tulilazimika kuchukua hatua kidogo kidogo.Huwezi kuwahamisha watu milioni tano au sita kutoka nchi mojana kuijaza kwa watu wengine milioni tano au sita naukatarajia pande zote mbili zifurahie.

Tulikuwa na pingamizi za kila aina kwa kila jambo lililofanywa.Lakini jambo fulani lilipaswa kufanyika.Tuliendelea na tukalifanya, na sasa linaanza kuzaa matunda.

Hatimaye nafikiri wote wataridhika, lakiniitachukua muda mrefu sana kukamilisha kazi hii.

[nje ya kamera]: Je, unaweza kutuambia kama walikuwa na wasiwasi kuhusu vita na Waarabu?”
"even among the Jews, the Zionists particularly who were against
anything that was to be done if they couldn't have the whole of Palestine and everything
handed to them on a silver plate so they wouldn't have to do anything". Jews people would have reclaimed their ancestral land with or without these dudes. jews did everything they could to have their ancestral in middle East. they had to snitch on Hitler(Germany)to England wich led the downfall of Hitler in the 2nd war and in wich Hitler resorted to Slaughter them.so you can imagine the risk they took to have that land..no one was gonna stop them to. even if they hadn't done so,someone else would.
 
sawa mkuu
 
Culture pia zina matter.
Kuwa dini moja haimaanishi kuwa ndio lazima waelewane.
Yaani ni sawasawa wewe mkristo wa Tanzania uende ukaishi na wakristo wa Congo au wa Sudan au Nigeria kuna vitu lazima mtakuwa mnapishana vya kiutamaduni na kimazingira.
Kama ulishawahi kuishi na watu wa kutoka Nigeria utanielewa kwa mfano waNigeria wakiwa wanaongea story za kawaida tu huwa wanafoka na kufyonya kama ugomvi sasa kama haujawazoea utakuwa unagombana nao kila siku.
Wadini na wakabila wana akili za kijima sana, culture haikuzuii kuishi na wengine kistaarabu na kuheshimiana, watu wagumu kubadilika nchi kama US wana suffer sana
 
Wadini na wakabila wana akili za kijima sana, culture haikuzuii kuishi na wengine kistaarabu na kuheshimiana, watu wagumu kubadilika nchi kama US wana suffer sana
Hata haujanielewa kabisa na umetoka kabisa nje ya mada,kuna mtu hapo juu aliuliza swali je waislamu wa huko Gaza wakikutana na Waislamu wa Nigeria wale wanaopigana wakaungana je wataelewana kwa vile ni dini moja?So ninachoongelea hapa ni civilization za watu wa kutoka nchi mbalimbali hazifanani yaani kuna vitu ambavyo wewe ukivifanya inakuwa ni kero au dharau au tusi kwa mwingine na kuna vitu ambavyo watu wa nchi fulani wakifanya kwako wewe inaweza kuwa tusi na unaweza ukarusha ngumi ila kwao wao ni kawaida.
Nina mifano mingi sana ya kukupa kwa mfano watu wenye jamii za kihindi kuitana mseng... kwao ni kawaida muda wowote na wanataniana hadi na wazee hakuna anayeshtuka wanatabasamu lakini kwa mazingira yetu sisi ukimuita mtu mseng.. hakuna atakayekubali huo ni ugomvi mkubwa sasa ukisema culture haina athari yoyote nakuwa sikuelewi.
 
same argument can be used for your cherished european jews masta, na issue sio suala la waarabu kuwataka,
mkiishaanza kutumia vitabu , muisrael anataka wale waondoke wasiwepo na wapalestina nao wanasema inabidi wapambane kuwatoa waisrael.

na issue ya waarabu kugoma kuwachukua muanzilishi wa hii ni muisrael "policy of no return" -- kwa hiyo genge linaloshawishi waondoke ni wanawala timing wakiondoka kama kawaida wanawakatalia kurudi

mku sio kama hivi vitu huelewi au huoni ila umejinga kwenye dini na maandiko
Alafu inatokea mtu , anaingiza mambo ya dini humu .
Waisraeli wengi asili yao sio pale ukiachana na wale ancient , netanyahu ni mzaliwa wa Poland, kwa nini asirudi kwao.

Tujiulize kwa nini mataifa mengi yaliwakataa wayahudi?
Na pale gaza ule ni mradi wa muda mrefu wa watu wenye pesa.
Cha kusikitisha kabla 1948 hapakuwa na taifa linaitwa Israel
 
Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko.

Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
Wamegoma kwa kuwa wale watu ni wapale hakuna sehemu ya kuenda, alaumiwe aliowarudisha wayahudi mashariki ya kati , baada ya kuendelea kufukuzwa na mataifa mengi , kila wanapoenda wanafukuzwa.
Kabla ya 1948 watu walikuwa wanaishi kwa amani
 
Wapalestina na Waisraeli tabia zao ni zile zile. Hata mataifa ya magharibi wanawasaidia Waisraeli ili wasitimuliwe pale (wabaki hapo hapo). Walishawahi kukaribishwa Russia, kwa uchache wao wakataka kuwa watawala wakamuua kiongozi wa nchi hiyo.
 
Hamas wamemwomba Trump awaambie Wayahudi wasitishe vita kwa siku 60 na wao wataachia nusu ya mateka.Trump anataka waachie wote.
Huu ujinga wa Hamas kushikilia mateka tena wengine maiti inawasaidia nini?

Watapungukiwa nini wakiwatoa wote kupunguza vifo na uharibifu wa ardhi na mali za watu.

Eti watoe nusu na wengine wakae nao wa nini?

Wanataka vita hakuna kupumzika wapambani hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom