Waende kwa waarabu wenzao ,unadhani kwanini waarabu wenzao hawataki hata kuwasikia?clip ya dakika moja na nusu. kwenye tapeli sikai na haiishii kwa yeye bali kwa marekani na israel kwa ujumla wake
hoja ni kwamba kama hawa wengine wametolewa ulaya ikiwa imeshapita miaka mingi sana toka watolewe hapo middle east kuwarudisha na kuwafurusha wale ambao walikuepo ni utapeli.
kuondolewa alafu waende wapi? hili swali ndo swali ambalo huwezi jibu. ---- hii dunia kila mtu ni mgeni
same argument can be used for your cherished european jews masta, na issue sio suala la waarabu kuwataka,Waende kwa waarabu wenzao ,unadhani kwanini waarabu wenzao hawataki hata kuwasikia?
"even among the Jews, the Zionists particularly who were againstenglish transcript
[silent]
...Roy Anderson was one of them. We had several other people in the country,
even among the Jews, the Zionists particularly who were against
anything that was to be done if they couldn't have the whole of Palestine and everything
handed to them on a silver plate so they wouldn't have to do anything.
It couldn't be done. We had to take it in small doses.
You can't move five or six million people out of a country and fill
it up with five or six million more and expect both sets of them to be pleased.
We had all sorts of objections to everything that was done. Something had to be done.
We went ahead and done it and had it done, and now it's working out.
Eventually I think we'll have them all satisfied but it's
going to take a great deal of time yet to get the job done.
[off camera]: Could you tell us that they were worried about the war with the Arabs?
swahili transcript by Ai - copilot
“…Roy Anderson alikuwa mmoja wao. Tulikuwa na watu wengine kadhaa nchini,hata miongoni mwa Wayahudi, hasa Wazayuni, waliokuwa wakipingachochote kilichotakiwa kufanyika iwapo wasingepewa Palestina yotena kila kitu kikiwa kimekabidhiwa kwao kwa urahisi bila wao kufanya chochote.
Haingewezekana. Tulilazimika kuchukua hatua kidogo kidogo.Huwezi kuwahamisha watu milioni tano au sita kutoka nchi mojana kuijaza kwa watu wengine milioni tano au sita naukatarajia pande zote mbili zifurahie.
Tulikuwa na pingamizi za kila aina kwa kila jambo lililofanywa.Lakini jambo fulani lilipaswa kufanyika.Tuliendelea na tukalifanya, na sasa linaanza kuzaa matunda.
Hatimaye nafikiri wote wataridhika, lakiniitachukua muda mrefu sana kukamilisha kazi hii.
[nje ya kamera]: Je, unaweza kutuambia kama walikuwa na wasiwasi kuhusu vita na Waarabu?”
sawa mkuu"even among the Jews, the Zionists particularly who were against
anything that was to be done if they couldn't have the whole of Palestine and everything
handed to them on a silver plate so they wouldn't have to do anything". Jews people would have reclaimed their ancestral land with or without these dudes. jews did everything they could to have their ancestral in middle East. they had to snitch on Hitler(Germany)to England wich led the downfall of Hitler in the 2nd war and in wich Hitler resorted to Slaughter them.so you can imagine the risk they took to have that land..no one was gonna stop them to. even if they hadn't done so,someone else would.
Wadini na wakabila wana akili za kijima sana, culture haikuzuii kuishi na wengine kistaarabu na kuheshimiana, watu wagumu kubadilika nchi kama US wana suffer sanaCulture pia zina matter.
Kuwa dini moja haimaanishi kuwa ndio lazima waelewane.
Yaani ni sawasawa wewe mkristo wa Tanzania uende ukaishi na wakristo wa Congo au wa Sudan au Nigeria kuna vitu lazima mtakuwa mnapishana vya kiutamaduni na kimazingira.
Kama ulishawahi kuishi na watu wa kutoka Nigeria utanielewa kwa mfano waNigeria wakiwa wanaongea story za kawaida tu huwa wanafoka na kufyonya kama ugomvi sasa kama haujawazoea utakuwa unagombana nao kila siku.
Hata haujanielewa kabisa na umetoka kabisa nje ya mada,kuna mtu hapo juu aliuliza swali je waislamu wa huko Gaza wakikutana na Waislamu wa Nigeria wale wanaopigana wakaungana je wataelewana kwa vile ni dini moja?So ninachoongelea hapa ni civilization za watu wa kutoka nchi mbalimbali hazifanani yaani kuna vitu ambavyo wewe ukivifanya inakuwa ni kero au dharau au tusi kwa mwingine na kuna vitu ambavyo watu wa nchi fulani wakifanya kwako wewe inaweza kuwa tusi na unaweza ukarusha ngumi ila kwao wao ni kawaida.Wadini na wakabila wana akili za kijima sana, culture haikuzuii kuishi na wengine kistaarabu na kuheshimiana, watu wagumu kubadilika nchi kama US wana suffer sana
Watu wanataka kujenga kasino pale wewe unahangaika na mambo ya diniHuwezi kukwepa dini kwenye huu mgogoro labda ujitoe fahamu tu
Alafu inatokea mtu , anaingiza mambo ya dini humu .same argument can be used for your cherished european jews masta, na issue sio suala la waarabu kuwataka,
mkiishaanza kutumia vitabu , muisrael anataka wale waondoke wasiwepo na wapalestina nao wanasema inabidi wapambane kuwatoa waisrael.
na issue ya waarabu kugoma kuwachukua muanzilishi wa hii ni muisrael "policy of no return" -- kwa hiyo genge linaloshawishi waondoke ni wanawala timing wakiondoka kama kawaida wanawakatalia kurudi
mku sio kama hivi vitu huelewi au huoni ila umejinga kwenye dini na maandiko
Wamegoma kwa kuwa wale watu ni wapale hakuna sehemu ya kuenda, alaumiwe aliowarudisha wayahudi mashariki ya kati , baada ya kuendelea kufukuzwa na mataifa mengi , kila wanapoenda wanafukuzwa.Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko.
Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
Huu ujinga wa Hamas kushikilia mateka tena wengine maiti inawasaidia nini?Hamas wamemwomba Trump awaambie Wayahudi wasitishe vita kwa siku 60 na wao wataachia nusu ya mateka.Trump anataka waachie wote.