Wapalestina wakataa kusimamiwa na jeshi la Waarabu kutoka mataifa tofauti

Wapalestina wakataa kusimamiwa na jeshi la Waarabu kutoka mataifa tofauti

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Waarabu wamekaa wakawaza kubuni jeshi la pamoja ambalo wanajeshi wake watatokea kwenye mataifa ya kiarabu, hili jeshi litumike kudumisha amani Palestina na kulinda chakula cha misaada ikiwemo ugavi wake.....
Magaidi yamehamasisha Wapalestina wakatae hili wazo, hivyo Wapalestina waendelee kudundwa tu hamna namna.
==================

This recent proposal by leaders of the Arab World would see a multi-national force establish order in Gaza, with whispers that Arab leaders are interested in seeing a similar force in the West Bank.​

Al-Mayadeen, a Hezbollah-affiliated network, reported on Saturday that "Palestinian factions" in Syria rejected the proposal to establish a multi-national military force of Arab countries with the backing of the US. This force would be responsible for controlling law and order in Gaza and escorting humanitarian aid convoys.

"Arab countries, together with the US, are trying to rescue the IDF from the situation it has found itself in Gaza. The Palestinian people are capable of choosing their leaders and institutions that will manage the Strip," the report stated.
 
Hamas watawaponza , kwa hali ilivyo hamas haiwezi kuwakomboa wapalestina, kama wanakata mpango huo basi wanaipa Israel uhalali wa kuendelea na vita na kuua wapalestina
 
Magaidi wa Hamas wana hofu kubwa kwamba kikosi hicho kitawazuia kupora chakula cha msaada kinachopelekwa kwa wananchi wa Palestina.

Hiyo ndio sababu inayopelekea magaidi hao kupinga wazo hilo la kupelekwa kwa majeshi ya kigeni.
 
Back
Top Bottom