Wapalestina wamelianzisha huko ukingo wa Magharibi "West Bank"

wanatakiwa watowe waraka kwanini mazayuni wamepiga marufuku krismasi kufanyika alipozaliwa Yesu, Bethlehem na kwanini wanang'oa misalaba yote kwenye makaburi ya wakristo.

Tec naona hilo wanalikalia kimya kwa kuwa wanaofanya hayo ni wabarikiwa.
HIO BIBI HAIONDOI BONDI YA WAYAHUDI NA WAKRSTO KUPITIA MUNGU WAO WA KIYAHUDI YEHOVA...TAFUTA PROPAGANDA NYINGINE....HIYO IPO CHEAP SANA😂🤣🤣
Najua waislam wanawapigia magoti wakrsto na kuwasihii wawaunge mkono katika chuki yao dhidi ya wayahudi......ila wakrsto wanawasanifu maaana kwao wayahudi ni wateule wa Mungu wao wa kiyahudi YEHOVA..
 
Sikiliza kijana, wenye haki ni mazayuni tu ya kuwanyag'anya wapalestina ardhi yao.

Sasa hivi huko mazayuni wameng'oa misalaba yote kwenye makaburi ya wakristo, hawataki kuiona. Unalielewa hilo?
Unateseka na mazayuni wewe.
 
Mungu hana kabila wewe, usiwe poyoyo.
 
wanapata muda wa kuingiza soundtrack
 
wanatakiwa watowe waraka kwanini mazayuni wamepiga marufuku krismasi kufanyika alipozaliwa Yesu, Bethlehem na kwanini wanang'oa misalaba yote kwenye makaburi ya wakristo.

Tec naona hilo wanalikalia kimya kwa kuwa wanaofanya hayo ni wabarikiwa.
Mama tulia basi, tafuta hata mme akukeep busy. Haya mengine unaumiza kichwa tu mama, relax. Uliyakuta na utayaacha, usijipe presha sana na kibaya zaidi huna cha kufanya ndo maana ukipata msongo wa mawazo unakimbilia Jamii forums kuandika.
 
Wakiristo wa jf humu wakiona hivi wanaumia sana, matumbo yanawakata. Utadhani wa ndio mayahudi. Jamaa wanaroho mbaya ajabu
 
Wakiristo wa jf humu wakiona hivi wanaumia sana, matumbo yanawakata. Utadhani wa ndio mayahudi. Jamaa wanaroho mbaya ajabu
Wajinga tu, wao hao wanaitwa najisi na mazayuni na wanatemewa makohozi. Ukionekana na msalaba tu huko ni kosa. hawajitambui hawa mapoyoyo, tutawaelimisha kidogo kidogo.

Wao fikra zao kuna vita ya kidini israel
 
Wewe kweli una matatizo makubwa sana kichwani mwako. Hivi kwa jinsi vifo vilivyokuwa vingi kwa Wapalestina bado unawashabikia waendelee na vita???Unataka wafe watu wangapi zaidi ili uridhike na kuwasihi Wapaleatina kuendeleza juhudi za kutafuta amani ili kuepusha vifo Zaidi?
 
Wapalestina wamesma mazayuni wasifikiri hata siku moja kuwa wataishi kwenye ardhi hiyo kwa raha wakati wenye ardhi wanateseka.
Sahihi wapalestina wangepewa ardhi nchi za kiarabu ndio msaada pekee wasiishe.
Sasa westbank nayo ikigeuzwa kifusi kama Gaza itakiwaje.
Hana wanataka kuwapa mazayuni ardhi ingine
 
Wajinga tu, wao hao wanaitwa najisi na mazayuni na wanatemewa makohozi. Ukionekana na msalaba tu huko ni kosa. hawajitambui hawa mapoyoyo, tutawaelimisha kidogo kidogo.

Wao fikra zao kuna vita ya kidini israel
Hakuna mkristo anaemshobokea yahudi,yahudi ni mkristo ni paka na panya mazayuni dini Yao freemasoni
 
Hapo bimkubwa kilichobaki ni wewe uingie vitani tu,experience umeshapata ya kutosha
Plus unauchungu na ndugu zako katika imani
 
ningewashauri wasingefanya hivyo, kwasababu Israel alikuwa anatamaniw afanye hivyo ili aivamie mazima westbank, avunje majengo na wayahudi wajenge ya kwao. kama hamjui, westbank kuna wayahudi karibia 600,000 na wapalestina milioni kama 3. wayahudi 600,000 kuwepo pale na kila siku wanavamia mashamba na ya wapalestina na kuyapora, inawapa mwanya zaidi wa kufanya vita wakijifanya ni vita ya ugaidi kumbe ndio wanapora zaidi maeneo. Mahmood Abas analijua hili ndio maana alishatangaza kwamba wanaomba waitawale na GAZA kwasababu anaogopa GAZA inaenda kukaliwa na wazayuni milele. yaani hapa ni pale umeweka chambo unatafuta samaki afu anakuja mwenyewe.

kwa msiofahamu, wayahudi hawaiti kiti kinachoitwa WESTBANK, eneo lile wao wanaliita JUDEO SAMARIA, kama ilivyokuwa inaitwa zamani na wanaamini ni mkoa ndani ya nchi yao. Judeo samaria ndio kule kwenye Bethlehem ambako Yesu alizaliwa, ndio kwenye Hebron mji alioujenga Daudi mfalme wao.
 
Ndicho Israel inatafuta sasa kuanzia leo anza kuhesabu makobaz mtaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…