FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #41
Aaah mazayuni wanazidi kuwaleta wahamiaji mazayuni wenzao. Hiyo westbank yenyewe sehemu ya Mapalestina iliyobakishwa nhata magomeni kubwa.ningewashauri wasingefanya hivyo, kwasababu Israel alikuwa anatamaniw afanye hivyo ili aivamie mazima westbank, avunje majengo na wayahudi wajenge ya kwao. kama hamjui, westbank kuna wayahudi karibia 600,000 na wapalestina milioni kama 3. wayahudi 600,000 kuwepo pale na kila siku wanavamia mashamba na ya wapalestina na kuyapora, inawapa mwanya zaidi wa kufanya vita wakijifanya ni vita ya ugaidi kumbe ndio wanapora zaidi maeneo. Mahmood Abas analijua hili ndio maana alishatangaza kwamba wanaomba waitawale na GAZA kwasababu anaogopa GAZA inaenda kukaliwa na wazayuni milele. yaani hapa ni pale umeweka chambo unatafuta samaki afu anakuja mwenyewe.
kwa msiofahamu, wayahudi hawaiti kiti kinachoitwa WESTBANK, eneo lile wao wanaliita JUDEO SAMARIA, kama ilivyokuwa inaitwa zamani na wanaamini ni mkoa ndani ya nchi yao. Judeo samaria ndio kule kwenye Bethlehem ambako Yesu alizaliwa, ndio kwenye Hebron mji alioujenga Daudi mfalme wao.
Safari hii Wapalestina wameamuwa. mpaka mipaka ijulikane, kila mtu awe na kwake na ajitawale mwenyewe apendavyo.
Wewe fikirimazayuni wanaruhusiwa kuingia kuishi popote apendapo. Wapalestina hata waliokuwa wakimbizi hawaruhusiwi kurudi kwao. Haki iko wapi hapo?