FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #61
Kwani uzee ni ugonjwa au ndiyo matusi ya kikwenu hayo?hivi nikikuuliza bibi kizee, kwanini Misri, Jordan, Saudia na nchi zingine za kiarabu hawataki kuruhusu wapalestina kukimbilia kwao kama wakimbizi, ni kwanini? be real kwenye hili, hebu tujadili.