Wapalestina wamelianzisha huko ukingo wa Magharibi "West Bank"

hivi nikikuuliza bibi kizee, kwanini Misri, Jordan, Saudia na nchi zingine za kiarabu hawataki kuruhusu wapalestina kukimbilia kwao kama wakimbizi, ni kwanini? be real kwenye hili, hebu tujadili.
Kwani uzee ni ugonjwa au ndiyo matusi ya kikwenu hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…