Ulimaanisha Kondoo? anyway we called that no problem bora sisi nyie mliitwa Punda kuwa mnabeba vitabu lakini hamjui vimeandikwa nini mnakalili bila kufahamu maana zake aya zote.
leta dalili wapi Mungu aliwapa Waisrael Holy land unaropoka kama mvuta bangi.
Bangi? Allah labda ndie mvutaji maana sio kwa aya hii katika Sura Al-Maidah soma Quran si mnaamini ni maneno yake ya kibangi bangi - Quran 5-21
يَـٰقَوْمِ ٱدْخُلُوا۟ ٱلْأَرْضَ ٱلْمُقَدَّسَةَ ٱلَّتِى كَتَبَ ٱللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا۟ عَلَىٰٓ أَدْبَارِكُمْ فَتَنقَلِبُوا۟ خَـٰسِرِينَ ٢١
O my people! Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”
Enyi watu wangu! Ingieni katika Nchi Takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amewakusudia uingie. Wala msirudi nyuma la sivyo mtapotea."
Nioe dalili wapi Ukristo au Uyahudi ilikuwa dini ya Mungu thibitisha kwa dalili na uhakika huna.
وَقَفَّيْنَا عَلَىٰٓ ءَاثَـٰرِهِم بِعِيسَى ٱبْنِ مَرْيَمَ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ ٱلتَّوْرَىٰةِ ۖ وَءَاتَيْنَـٰهُ ٱلْإِنجِيلَ فِيهِ هُدًۭى وَنُورٌۭ وَمُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ ٱلتَّوْرَىٰةِ وَهُدًۭى وَمَوْعِظَةًۭ لِّلْمُتَّقِينَ ٤٦
Then in the footsteps of the prophets, We sent Jesus, son of Mary,
confirming the Torah revealed before him. And We gave him the Gospel containing guidance and light and confirming what was revealed in the Torah—a guide and a lesson to the God-fearing.
Kisha katika nyayo za manabii, tukamtuma Yesu mwana wa Mariamu, akiithibitisha Torati iliyofunuliwa mbele yake. Na tukampa Injili iliyo na mwongozo na nuru na kuthibitisha yale yaliyofunuliwa katika Torati—mwongozo na somo kwa wanaomcha Mungu.
Bani Israel kizazi cha Yakobo wapo Makabila 12 lakini walio pewa ardhi ni wale Waislam sio nyie wajukuu wa Paulo na Wajukuu wa kondoo walio potea.
Let me teach you wewe fake muslim , Wakati wa Musa hakukuwa na Waislam and Musa alikuwa ni mmoja ya koo za Yacobo uzao wa Levi, Musa Aliabudu Mungu wa Kweli YAHWEH na sio Al ''Lah'' na wanae masanamu yenzake Al-lat,Al-uzza na Manat.
Paulo ni Bulus in Arabic name so subiri kiama chako Yesu akija akuhukumu kwa kuwakashifu Mitume wake aliowatuma si mnaamini hivyo Waislam... oh Sorry nilisahahu wewe ni fake muslim hahahahaha