Wapalestina wamtaka Mahmoud Abbas aombe radhi kwa matusi yake na kujisahau

Wapalestina wamtaka Mahmoud Abbas aombe radhi kwa matusi yake na kujisahau

Utadhani walimtaka Abbas aombe radhi ni Wapalestina kumbe vikundi vya kigaidi vyenye vinasaba na Hamas..

Raia wenywe wa Gaza wanaandamana wakitaka Mateka waachiwe ili vita isimame wapone
Kwani unadhani wanaowaua wapalestina ni waisrael wote,hao ni mayahudi ambao wako madarakani.ndio maana kuna maandamano makubwa sana Israel kila baada ya muda kutaka vita visimamishwe kwa faida ya walio wengi sio matakwa ya kisiasa ya mayahudi akina Netanyahu.
 
Si unaona sasa kumbe hata kuabudu hujui ni kitu gan. Bora nikuache maana mudy aliwaweza sana. Mnaenda tu kama kasuku hujui Mungu ninani na hata kuabudu hujui ni kitu gani. Na ndio maana mnalipuka mabomu na kudanganywa mtaenda kulewa na kugongana huko kwa Allah bila kuhoji mnaenda tu kama kasuku. Na ndio maana sheikh wenu kawaambia msireason maana siku ukifikiria tu utaacha hiyo dini.
Sa we hebu tuambie kuabudu ni nini? Jinga lolo wewe kale nguruwe zipate kukudhuru zaidi.
 
Sa we hebu tuambie kuabudu ni nini? Jinga lolo wewe kale nguruwe zipate kukudhuru zaidi.
Hizo nguruwe ndio chakula kikuu cha wachina kingekuwa kinadhuru wasingefika bilioni 1.4, siwez kuendelea na mjadala na wewe kama hata hujui kuabudu ni kufanya nini. We niwale mliolishwa tu hata kuuliza huulizi ni.kasuku usiejitambua sorry.
 
Kwahiyo tatizo kwao ni tusi tu,,, je mateka wataachiwa? na uhuru upi wanataka wakati hawajawahi kuwa na Nchi tokea karne yeyote ile.. Arabs kama walifanikiwa kuigeuza Mecca na Madina iwe nchi ya Arabs Jerusalem na Israel yote iliyobakia kamwe hawataweza tena waende tu kwao na sio kung'ang'ania nchi ya ahadi allah aliyompa Musa na wana wa israel. Arabs ni jamii strange katika Holyland
Holyland ipi maana Holyland zipo kibao. Vatican pia ni Holyland kwa wakatoliki wakati Medina na Macca zikiwa Holyland kwa waislamu.
 
Stupid, neither Abraham was the father of the people of Israel. Israel eventually divided into two kingdom’s, Israel and Judah. After the Assyrian conquest, most of Israel was exiled and lost, though a some escaped to Judah. It was not until after the Babylonian captivity of Judah that the people were known as Jews.
If Abraham was the father to Isaac and Isaac the father to Jacob and Jacob the father to the 12 Israeli tribes
Reuben, Simeon, Levi, Judah, Dan, Naphtali, Gad, Asher, Issachar, Zebulun, Joseph (or Tribe of Ephraim and Tribe of Manasseh) and Benjamin, how comes you're arguing about the connection of Abraham and the Israelites..!!??
 
IC Who is the first son of prophet Abrahim?
 
Back
Top Bottom