Wapalestina wamtaka Mahmoud Abbas aombe radhi kwa matusi yake na kujisahau

Utadhani walimtaka Abbas aombe radhi ni Wapalestina kumbe vikundi vya kigaidi vyenye vinasaba na Hamas..

Raia wenywe wa Gaza wanaandamana wakitaka Mateka waachiwe ili vita isimame wapone
Kwani unadhani wanaowaua wapalestina ni waisrael wote,hao ni mayahudi ambao wako madarakani.ndio maana kuna maandamano makubwa sana Israel kila baada ya muda kutaka vita visimamishwe kwa faida ya walio wengi sio matakwa ya kisiasa ya mayahudi akina Netanyahu.
 
Sa we hebu tuambie kuabudu ni nini? Jinga lolo wewe kale nguruwe zipate kukudhuru zaidi.
 
Sa we hebu tuambie kuabudu ni nini? Jinga lolo wewe kale nguruwe zipate kukudhuru zaidi.
Hizo nguruwe ndio chakula kikuu cha wachina kingekuwa kinadhuru wasingefika bilioni 1.4, siwez kuendelea na mjadala na wewe kama hata hujui kuabudu ni kufanya nini. We niwale mliolishwa tu hata kuuliza huulizi ni.kasuku usiejitambua sorry.
 
Holyland ipi maana Holyland zipo kibao. Vatican pia ni Holyland kwa wakatoliki wakati Medina na Macca zikiwa Holyland kwa waislamu.
 
If Abraham was the father to Isaac and Isaac the father to Jacob and Jacob the father to the 12 Israeli tribes
Reuben, Simeon, Levi, Judah, Dan, Naphtali, Gad, Asher, Issachar, Zebulun, Joseph (or Tribe of Ephraim and Tribe of Manasseh) and Benjamin, how comes you're arguing about the connection of Abraham and the Israelites..!!??
 
IC Who is the first son of prophet Abrahim?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…