Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa kimataifa kilichoibwa na kuhodhiwa godauni la hamas baada ya walinzi kulikimbia jeshi la Israel

wapalestina kufa kwa risas za wayaud kisa hamas walienda kununua vita kisha wameingia mafichoni
Hizi sawa na propaganda za ccm dhidi ya Chadema kwamba Chadema wanajiteka wenyewe na kujitupa misituni
 
Hizi sawa na propaganda za ccm dhidi ya Chadema kwamba Chadema wanajiteka wenyewe na kujitupa misituni
baada ya Hamas kuchochea hiki kinachoendelea , je wamefany nn kuwalinda wapalestina wa kawaida wasio na madaraka hapo Gaza ? wenzao wanatoa mpk alarm kuwahasa raia wao waingie kweny maandaki , je pamoja na Idf kuwa wanatoa taarifa watakapo shambulia sehem , Hamas huwa wanafany nn kuwalinda wananchi dhidi ya athari za mapigano yao na idf
 
Warabu wa buza hawawezi ripoti taarifa kama hizi.
 
Chadema baaada ya kutekwa wanafanya kuwakoa wenzao na wengine wasitekwe?wenzao hawatekwi
 
Hawa ndio wanasema wana mjua Mungu. Hawa ndio wanajiona wakamilifu. Hawa watu n magaidi km tu msosi wanauficha
 
Chadema baaada ya kutekwa wanafanya kuwakoa wenzao na wengine wasitekwe?wenzao hawatekwi
chadema waliwai mteka ccmu yoyote ? je Chadema wanaweza vp okoa mtu kwan usalama wa wafuasi wa chadema haupo chini ya jeshi la polisi ? na Chadema ndo inapaswa waokoa wafuasi wake na si jeshi la polisi ? , hv sheikh huwa akil zipo kwel ? Bakia kweny mada

NB ; Nina mashaka na afya yako ya akili

Gaza ipo chini ya Hamas na raia wa Gaza waliachagua Hamas wawaongoze ila Hamas wametimiza wajibu wao kama viongoz wa Gaza kwa kuwalinda Raia wa gaza?
 
Chadema imechukua jukumu gani kuwanusru wafuasi kutekwa?
 
Kuna mapimbi yanabenefit kwa mateso ya wapelestina
 
Kwa nini unaihusisha hamas na uislam? Hao ni magaidi
Kwani wakifyatua rocket hawatamki *Allahu akbar"? Kwani walipokuwa wakiwachinja na kuwabaka watu tarehe 7/10 walikuwa hawaimbi "allahu Akbar"
 

Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒ Wafia Dini wa Mbangara😭😭😭🀝🀝🀝
Na makazu yao yaliyojaa michiirizi ya michuzi ya kachumbari.... 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…