Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi sawa na propaganda za ccm dhidi ya Chadema kwamba Chadema wanajiteka wenyewe na kujitupa misituniwapalestina kufa kwa risas za wayaud kisa hamas walienda kununua vita kisha wameingia mafichoni
baada ya Hamas kuchochea hiki kinachoendelea , je wamefany nn kuwalinda wapalestina wa kawaida wasio na madaraka hapo Gaza ? wenzao wanatoa mpk alarm kuwahasa raia wao waingie kweny maandaki , je pamoja na Idf kuwa wanatoa taarifa watakapo shambulia sehem , Hamas huwa wanafany nn kuwalinda wananchi dhidi ya athari za mapigano yao na idfHizi sawa na propaganda za ccm dhidi ya Chadema kwamba Chadema wanajiteka wenyewe na kujitupa misituni
Warabu wa buza hawawezi ripoti taarifa kama hizi.wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno.
Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel wanahusika, ni mbinu / propaganda ya kucheza na imani za watu waingiwe huruma ya kuwapa misaada mingi zaidi, misaada ikifika Gaza wanatumia wao na familia zao, huiuza kwa wapalestina ndani ya Gaza na soko la kimataifa kujiingizia mabilioni ya pesa.
Hii ni baada ya walinzi wa godauni kuona jeshi la Israel linawakaribia wakatimua mbio, wapalestina wameingia kujisevia, Gaza ni sherehe.
View attachment 3134488
Chadema baaada ya kutekwa wanafanya kuwakoa wenzao na wengine wasitekwe?wenzao hawatekwibaada ya Hamas kuchochea hiki kinachoendelea , je wamefany nn kuwalinda wapalestina wa kawaida wasio na madaraka hapo Gaza ? wenzao wanatoa mpk alarm kuwahasa raia wao waingie kweny maandaki , je pamoja na Idf kuwa wanatoa taarifa watakapo shambulia sehem , Hamas huwa wanafany nn kuwalinda wananchi dhidi ya athari za mapigano yao na idf
Nani aweke chakula chote hicho sumu mkuu?Duuh...sasa hao jamaa zangu apo likipigwa kombora si patashika....au hzo chakula kama imewekewa sumu si basi tena tunaokotana tu
Ila video ni ya Palestine si ndio?Hii video unauhakika ni ya karibuni? maana last year raia walivamia ghala la UNRWA wakabeba vyakula kuna video niliitizama inafanana kiaina
Wanampigania Allah.Tatizo la hamas hawajui wanapigania nini.
Hawa ndio wanasema wana mjua Mungu. Hawa ndio wanajiona wakamilifu. Hawa watu n magaidi km tu msosi wanaufichawapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno.
Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel wanahusika, ni mbinu / propaganda ya kucheza na imani za watu waingiwe huruma ya kuwapa misaada mingi zaidi, misaada ikifika Gaza wanatumia wao na familia zao, huiuza kwa wapalestina ndani ya Gaza na soko la kimataifa kujiingizia mabilioni ya pesa.
Hii ni baada ya walinzi wa godauni kuona jeshi la Israel linawakaribia wakatimua mbio, wapalestina wameingia kujisevia, Gaza ni sherehe.
View attachment 3134488
Duh noma sana aisee.misaada ya chakula ya kuisaidia Gaza inaishia kwa Hamas na familia zao, pesa zinatumika kununulia wake zao pochi za milioni 87
View attachment 3134490
chadema waliwai mteka ccmu yoyote ? je Chadema wanaweza vp okoa mtu kwan usalama wa wafuasi wa chadema haupo chini ya jeshi la polisi ? na Chadema ndo inapaswa waokoa wafuasi wake na si jeshi la polisi ? , hv sheikh huwa akil zipo kwel ? Bakia kweny madaChadema baaada ya kutekwa wanafanya kuwakoa wenzao na wengine wasitekwe?wenzao hawatekwi
Wape ukweli.Uongo mtupu.
Chadema imechukua jukumu gani kuwanusru wafuasi kutekwa?chadema waliwai mteka ccmu yoyote ? je Chadema wanaweza vp okoa mtu kwan usalama wa wafuasi wa chadema haupo chini ya jeshi la polisi ? na Chadema ndo inapaswa waokoa wafuasi wake na si jeshi la polisi ? , hv sheikh huwa akil zipo kwel ? Bakia kweny mada
NB ; Nina mashaka na afya yako ya akili
Gaza ipo chini ya Hamas na raia wa Gaza waliachagua Hamas wawaongoze ila Hamas wametimiza wajibu wao kama viongoz wa Gaza kwa kuwalinda Raia wa gaza?
Ukweli ni kuwa mazayuni wamezuwia chakula, wamefunga maji, wanapiga mabomu shule na hospitali huko.Wape ukweli.
Uongo nini?.Uongo mtupu.
😂😂😂😂🏃🏃🏃 Wafia Dini wa Mbangara😭😭😭🤝🤝🤝Wafia dini kutoka mbagala maji matitu, bado watabisha kuwa siyo kweli kuhusu hiyo video... 🥴🥴🥴
Kwani wakifyatua rocket hawatamki *Allahu akbar"? Kwani walipokuwa wakiwachinja na kuwabaka watu tarehe 7/10 walikuwa hawaimbi "allahu Akbar"Kwa nini unaihusisha hamas na uislam? Hao ni magaidi
Na makazu yao yaliyojaa michiirizi ya michuzi ya kachumbari.... 😁😁😁😂😂😂😂🏃🏃🏃 Wafia Dini wa Mbangara😭😭😭🤝🤝🤝