Wapalestine 26 wameuawa na maelfu kujeruhiwa katika kituo cha usambazaji wa misaada Kusini mwa Gaza

Silas Samuel

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
873
Reaction score
628
Angalau Wapalestina 26 wameuawa na maelfu wamejeruhiwa baada ya vikosi vya Israel kufungua moto Jumapili karibu na kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza kinachosimamiwa na msingi wenye utata unaoungwa mkono na Marekani, kulingana na Shirika la Msalaba Mwekundu la Palestina na hospitali iliyo karibu.

Umati wa raia ulikuwa ukienda kupokea msaada wa chakula kutoka eneo la Rafah, wakati vikosi vya Israel vilipofungua moto, alisema paramedic kutoka PRCS, ambao ni wataalamu wa afya pekee waliokuwepo katika eneo hilo.

======================================================

Dozens of Palestinians were shot dead by the Israeli military near an aid distribution site in Gaza on Sunday according to Palestinian officials and eyewitnesses, with Israel’s military denying that its troops fired “within or near” the aid site.

The Palestinian health ministry, hospital officials and a half-dozen eyewitnesses said the Israeli military was responsible for the gunfire. Palestinian officials said 31 Palestinians had been killed. The Israeli military said its forces “did not fire at civilians while they were near or within” the aid site, but an Israeli military source acknowledged that Israeli forces fired toward individuals about 1 kilometer (1093 yards) away, before the aid site opened.

The incident is the latest in which Palestinians have been killed while attempting to receive aid from the Gaza Humanitarian Foundation (GHF), a controversial US-backed mechanism to distribute aid to the embattled and hungry enclave after a months-long Israeli blockade.

Source: CNN
 
... "kufungua moto" ndio kufanyaje? Wacha kutafsiri neno kwa neno!
nimechukua Dakika 13 kutafakari IQ LEVEL yako nikaona NI MTANZANIA NATABIA YAKE ANAEONGEA
KWASABABU WANAPENDA KUTAFSIRIWA,KILICHO MBELE YAKE...I AIN'T GOT NO FCKD UP TIME WITH FOOLS TRASH IN THEIR BRAINS FOOL
 
mbona umeulizwa swali rahisi tu mkuu? Kufungua moto ni kufanyaje? Kama na ww ulikuwa hujui si useme tu sijui? Humu IQ tunatofautiana na inaonyesha IQ Yako ni ndogo kuliko ya aliyekuuliza swali maana umepanic bila sababu.
 
Angalau Wapalestina 26 wameuawa na maelfu wamejeruhiwa baada ya vikosi vya Israel kufungua moto Jumapili karibu na kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza kinachosimamiwa na msingi wenye utata unaoungwa mkono na Marekani, kulingana na Shirika la Msalaba Mwekundu la Palestina na hospitali iliyo karibu.

Umati wa raia ulikuwa ukienda kupokea msaada wa chakula kutoka eneo la Rafah, wakati vikosi vya Israel vilipofungua moto, alisema paramedic kutoka PRCS, ambao ni wataalamu wa afya pekee waliokuwepo katika eneo hilo.

Jenga desturi ya kuweka na chanzo cha taarifa tuwe tunajisomea pia, hata hivyo bado nawashauri rudisheni watoto wa Wayahudi la sivyo mtaendelea kufa sana.

Mlichofanya hiyo kuteka na kuua watoto wa Wayahudi na mpaka leo mumewashikilia mateka, aisei ingekua nchi ya kikatili kama China au Urusi mngepigwa carpet bombing pamoja na mateka wote.
Kuna mwaka fulani mlishikilia Warusi mateka, yaani Urusi walishambulia kwa kuua kila kitu, magaidi pamoja na mateka na mara moja tatizo likawa limetatuliwa.

Leo hii Israel inapiga kwa umakini mkubwa ili isiue watoto wao mlioshikilia, la sivyo wangepafuta pafutike.
 
CNN
 
kati ya mateka walioachiwa na h@mas alisema zaidi alichokuwa anakiogopa ni mabomb israel yanayopiga bila kujali nani anaempiga
 
Jenga desturi ya kuweka na chanzo cha taarifa tuwe tunajisomea pia, hata hivyo bado nawashauri rudisheni watoto wa Wayahudi la sivyo mtaendelea kufa sana.

Mlichofanya hiyo kuteka na kuua watoto wa Wayahudi na mpaka leo mumewashikilia mateka, aisei ingekua nchi ya kikatili kama China au Urusi mngepigwa carpet bombing pamoja na mateka wote.
Kuna mwaka fulani mlishikilia Warusi mateka, yaani Urusi walishambulia kwa kuua kila kitu, magaidi pamoja na mateka na mara moja tatizo likawa limetatuliwa.

Leo hii Israel inapiga kwa umakini mkubwa ili isiue watoto wao mlioshikilia, la sivyo wangepafuta pafutike.
Israel anapaswa kuondoa majeshi yake kwenye aridhi za palestine West bank ni Halali ya Palestine ila Makazi ya wapalestine ndio wanayomiliki Raia Wa Israel, Gaza ilikua kimbilio la wapalestine waliokimbia vita tokea kipindi cha nyuma ila Israel Kwake Yeye Anazo haki za kibinadamu kuliko kiumbe yoyote Hapa Duniani ndicho wanachomaanisha
 
𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗔 𝗩𝗜𝗧𝗔

(1) Huzuia misaada ya chakula akiamini njaa ni mbinu

(2) Ameshindwa kutimiza aliyoyaahidi awali

(3) Licha ya ubora wa silaha na misaada ya kijeshi alishindwa kukomboa mateka wala kujua walipofichwa

(4) Eneo lisilozidi kilomita 400 limemgharimu siku zaidi ya 600 kupambana bila mafanikio

(5) Licha ya mauaji ya hovyo kwa watu ambao sio wapiganaji lakini bado kundi hilo halikudhoofika wala halikuacha kujibu mashambulizi

(6) Mkataba wa makubaliano hupendekezwa kisha anaeombwa akubali hakuwepo kwenye upendekezaji

(7) Nidhamu na utu wa hao wanaoitwa Magaidi ni mkubwa kwa Mateka wao dhidi ya vitendo vyao kwa wafungwa wa kipalestina, huu pia ni Ushindi wa Kiimani.
 
Mpumbavu! Wewe una IQ gani iliyoshindwa kutafsiri "open fire" kwa Kiswahili?
mtanzania anapenda kuchelewesha Muda kama Unae IQ nzuri na Umeelewa Kwanini unapoteza Muda Kuuliza Maswali ya Kijinga?? YOU AIN'T PERFECT NEITHER DUMMY
 
mbona umeulizwa swali rahisi tu mkuu? Kufungua moto ni kufanyaje? Kama na ww ulikuwa hujui si useme tu sijui? Humu IQ tunatofautiana na inaonyesha IQ Yako ni ndogo kuliko ya aliyekuuliza swali maana umepanic bila sababu.
LI RAHISI KWA MJINGA ILA NI UPUUZI KWA MWEREVU??
DID YOU GET THE INFO YOU NEED AU NI UTANZANIA UNANILETEA WAKUULIZA MASWALI UNAYOFAHAMU KUPOTEZA MUDA?
 
mtanzania anapenda kuchelewesha Muda kama Unae IQ nzuri na Umeelewa Kwanini unapoteza Muda Kuuliza Maswali ya Kijinga?? YOU AIN'T PERFECT NEITHER DUMMY
mtanzania anapenda kuchelewesha Muda kama Unae IQ nzuri na Umeelewa Kwanini unapoteza Muda Kuuliza Maswali ya Kijinga?? YOU AIN'T PERFECT NEITHER DUMMY
mtanzania anapenda kuchelewesha Muda kama Unae IQ nzuri na Umeelewa Kwanini unapoteza Muda Kuuliza Maswali ya Kijinga?? YOU AIN'T PERFECT NEITHER DUMMY
Kwamba mamilioni kwa mamilioni ya mitahani inayofanywa duniani kila siku wanaoitunga hawana IQ ila wewe!
 
OKAY UKIWA KWENYE VITA UKAAMBIWA OPEN FIRE UTAFUNGUA MDOMO??
NA KWANINI WANASEMA KUFUNGUA MOTO
UNAPO FIRE BUNDUKI INAKUWA NA MOTO UKIEKA KWENYE NGOZI INACHOMA NDIO MAANA UTASEMA FUNGUA MOTO MAANA INATOA MOTOO
UMEELEWA DUDUS
 
Angalau Wapalestina 26 wameuawa na maelfu wamejeruhiwa baada ya vikosi vya Israel kufungua moto Jumapili karibu na kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza kinachosimamiwa na msingi wenye utata unaoungwa mkono na Marekani, kulingana na Shirika la Msalaba Mwekundu la Palestina na hospitali iliyo karibu.

Umati wa raia ulikuwa ukienda kupokea msaada wa chakula kutoka eneo la Rafah, wakati vikosi vya Israel vilipofungua moto, alisema paramedic kutoka PRCS, ambao ni wataalamu wa afya pekee waliokuwepo katika eneo hilo.
..."kuwasha moto"...=open fire
Ndiyo ulivyotafsiri?🫸🫷🧐
 
Back
Top Bottom