Wapalestine 26 wameuawa na maelfu kujeruhiwa katika kituo cha usambazaji wa misaada Kusini mwa Gaza

Wapalestine 26 wameuawa na maelfu kujeruhiwa katika kituo cha usambazaji wa misaada Kusini mwa Gaza

kama Israel inafahamika na nchi zilipo U.N vile vile Palestine inafaamika na nchi 147 kati ya nchi 193 zilizopo U.N, Na ukiangalia Familia Za Palestine Nyingi zilifukuzwa makazi ili kwamba Familia Ya Israel Ipate Makazi kwenye eneo ya Palestine Hivi kweli Magaidi Wasitokee katika Hio nchi kupambania Wananchi wao? nadhani Hata Leo Hii LISSU akinyongwa baada ya miaka Michache utaona Vijana wengi magaidi hapa Tanzania, Huezi Tesa wananchi miaka yote alafu utegeme magaidi wasitoke
Unabishana na shoga wa akili ungemnyamazia tu huyo.
 
Angalau Wapalestina 26 wameuawa na maelfu wamejeruhiwa baada ya vikosi vya Israel kufungua moto Jumapili karibu na kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza kinachosimamiwa na msingi wenye utata unaoungwa mkono na Marekani, kulingana na Shirika la Msalaba Mwekundu la Palestina na hospitali iliyo karibu.

Umati wa raia ulikuwa ukienda kupokea msaada wa chakula kutoka eneo la Rafah, wakati vikosi vya Israel vilipofungua moto, alisema paramedic kutoka PRCS, ambao ni wataalamu wa afya pekee waliokuwepo katika eneo hilo.
Mnabebeshwa tu tarifa za Uongo na Magaidi kisha mnazisambaza dunia nzima kama ni ukweli vile... cctv live ilikuwa inachukua tukio zima sasa mnazid kuumbuka yaani hicho chakula watakula raia mpango wenu wa kuongeza hesabu na kuuzia raia umekwama tafuteni vitimbi vipya
 
wanasema Angalau 26 wamekufa hamna mtu kutoka Hamas kati ya Hao waliokufa..! hawataki kuwaua Hamas ila wanajaribu kupoteza Palestine kwenye Historia ya Dunia
Bado unaamini, hao 26 wameuawa na IDF? Israel ni kama walijua wale wehu wataua watu wao halafu isingiziwe Israel, na walijua vyombo vya habari kama Al Jazeera nao wangetangaza habari za kipropaganda ili kuigombanisha Israel na dunia. Confirmed, is Hamas who killed their brothers and not 26 people, is 31 people were killed by gun.
 
... "kufungua moto" ndio kufanyaje? Wacha kutafsiri neno kwa neno!
Hadi Mimi Mmatumbi wa kilwa nimecheka sana yeye katafsir “Open fire” kama kufungwa moto!!!!! Silas Samuel Kushabikia magaidi ni ujinga uliopitiliza!!?

Habari hii si kweli bali magaidi wenyewe ndiyo waliwafyatulia risasi wapalestina wenzao ili tu kuwapaka matope IDF. nakuwekea video iliyopigwa na drone ikionyesha magaidi hao wakiwafyatulia risasi raia waliokuwa wakienda kupokea misaada ya chakula hapo ndipo utajua Hamas ni Magaidi.
 

Attachments

  • db193d95-cbcf-4ba8-95a8-330e4f447908.mp4
    55.8 MB
KUFUNGUA MOTO WHAT'S WRONG NA KISWAHILI YOU GUYS MAKING THIS A SUBJECT TO DISCUSS
Acha ujinga wewe unajifanya unajua kiingereza kumbe hola hakuna kitu!!! Hayo yote ni kwa sababu unashabikia Magaidi mpaka na akili zimekwenda kombo!,,
 
Back
Top Bottom