Jenga desturi ya kuweka na chanzo cha taarifa tuwe tunajisomea pia, hata hivyo bado nawashauri rudisheni watoto wa Wayahudi la sivyo mtaendelea kufa sana.
Mlichofanya hiyo kuteka na kuua watoto wa Wayahudi na mpaka leo mumewashikilia mateka, aisei ingekua nchi ya kikatili kama China au Urusi mngepigwa carpet bombing pamoja na mateka wote.
Kuna mwaka fulani mlishikilia Warusi mateka, yaani Urusi walishambulia kwa kuua kila kitu, magaidi pamoja na mateka na mara moja tatizo likawa limetatuliwa.
Leo hii Israel inapiga kwa umakini mkubwa ili isiue watoto wao mlioshikilia, la sivyo wangepafuta pafutike.