Wapalestine wanavyolufa maelfu elfu, ukiwaambia leo eti kuna Mungu gani, watakukula nyama!

Wapalestine wanavyolufa maelfu elfu, ukiwaambia leo eti kuna Mungu gani, watakukula nyama!

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu

Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe!

Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu

Je, haoni?

Je, kawaacha kwa maksudi ili waangamie na kuisha?

Kama yupo, yuko wapi na anafanya nini?

Je. Ni kiziwi hata asisikie mabomu yanayounguruma kila leo?

Kajificha kuogopa wauwaji mayahudi?

Yupo...anafanya nini sasa, mbona hatoi msaada?
 
Njia za mungu sio za mwanaadamu , huwezi kumpangia mungu afanye nini wakati gani, hawa unaowaona leo wanaua watu waliuliwa kwa kubanikwa kama kuku zama hizo, farao pia alikuwa na nguvu hadi akajiita mungu, wale waliobaki hadi leo ndio walisimulia mungu alifanya nini baada ya hapo, muda ni mwalimu mzuri sana
 
Ukiulizwa mungu ulishawahi kumuona utajibu vipi?
 
Hivi ni wayahudi au mayahudi?. Watanzania au mtanzania?. Ukiandika Mayahudi au Matanzania nyuma yake ni chuki. Kuhusu Mungu ni kwamba watu wamekataa kuwa na Mungu katika fahamu zao Mungu naye amewaacha wafuate akili zao zisizokua na matunda mwisho wanatendeana ubaya wa kila namna.
 
Kwaiyo unataka kusemaje kuusu mungu mbona mfano wako umejikita peke yake kwa Waislamu Nikisema unafanya Propaganda za kitoto utakataa!!!!

Mbona ujatoa mfano Vita ya pili ya Dunia unajua Cristian wangapi wameangamia je wameacha Dini yao ????

Apo jilan yako Rwanda Waliuliwa Kanisani uku picha za Yesu na Maria zimejaa umo kanisani Watusi ambao ni Cristian mamia ya Watu walikufa uku macho yao baadhi yakielekea ilipo picha ya Yesu na akutoa msaada wowote!!!! je waliacha Dini yao????

Nenda uganda Mchungaj Joseph kibweteere kauwa Cristian 700 je Waganda nao unawashauri nini kuusu Mungu wao mana ndugu zao Waliaminishwa mwisho wa Dunia ndio mwaka 2000 ivo watachukuliwa kwenda nmbinguni yote Dini yao. Baada ya apo ulitaka wasimfate YESU.????

Kenya napo mchungaji mackenzie kauwa watu kwanjaa kwmba wanatakiwa waende kwa Bwana !!! Nao vipi ndugu wawa fiwa unawapa neno lipi waachane na Yesu kabisa. !!!!!? Mtoa Mada unajalibu tu kufanya propaganda ya Kidini nakukumbusha DINI ya Kilslamu ilishawazidi maarifa WAZUNGU wewe unatwanga maji kwenye kinu!!!!...
 
Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu

Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe!

Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu

Je, haoni?

Je, kawaacha kwa maksudi ili waangamie na kuisha?

Kama yupo, yuko wapi na anafanya nini?

Je. Ni kiziwi hata asisikie mabomu yanayounguruma kila leo?

Kajificha kuogopa wauwaji mayahudi?

Yupo...anafanya nini sasa, mbona hatoi msaada?
Achana na Allah kwa sasa bado amefunga zile sita
 
Njia za mungu sio za mwanaadamu , huwezi kumpangia mungu afanye nini wakati gani, hawa unaowaona leo wanaua watu waliuliwa kwa kubanikwa kama kuku zama hizo, farao pia alikuwa na nguvu hadi akajiita mungu, wale waliobaki hadi leo ndio walisimulia mungu alifanya nini baada ya hapo, muda ni mwalimu mzuri sana
Kwa hiyo tumpe mda. Allah?
 
Kwa hiyo tumpe mda. Allah?
Wewe subiri kufa tu ,maana huna cha kumpa kama babu zako pia walivyokuwa hawana cha kumpa kipindi hitler na farao wanawaua waisrael, na kipindi babu zako walivyokuwa wanacharazwa mijeledi na wazungu na kuporwa mali zao i
Hayo ya allah muachie allah
 
Allahu Akbar
 
Apo RUSSIAN na UKRAINE wate Cristian ukichukua idadi ya Vifo pande zote Mbili ukosi 2milioni !!!

je ulitaka wafunge makanisa!!!!? VIFO MILIONI 2 palestina VIFO tuweke laki moja !!!!

Mungu wa Upande upi ndio kawatekeleza Waumini wake ivo Ajiuzulu!!!! !!

undhani Upande wa ISRAEL awafi au kwakua wamebana habari za vifo na kupigwa picha maeneo yanayopigwa uliona picha Promiss no 2 Miji ya Israel ikipigwa Kambi za Jeshi !!!

Waisrael walidai kafa tu Mplestina m1 ktk ali ya kawaida inawezekanaje ukiachia Akili ifikiri yenyewe kweli kafa mtu mmoja tu !!!!¿¿

ktk Mashambulizi ya ukubwa kama ule tokalini Kambi za Jesh ikakosa watu tena kipindi cha Vita !!!!

Je unajua Bunge la Israel limepitisha Sheria kuzuia Habari Vita yoyote kwenda Media hadi Jeshi lao iyo Habari waipitishe !!!!

njooo Nchini kwako Tz unakumbuka wkt wa matukio ya Kibit Baada ya Jesh la polisi kushindwa kudhibiti matukio yale Serikali ikalitaka JESH yani JWTZ ikasaidie kudhibiti yale matukio je Baada ya Jesh kuanza kazi unajua Sheria ipi ilitangazwa kuusu Habari na Matukio yate maeneo yote yaliosimamiwa na Jesh !!!!

Habri yoyote kulikuwa na mtu m 1 tu ndio wakudhibitisha au kutangaza chochote kisha iyo Habari ndio iende Media !!!!

manake ipo ivi ayo maeneo yalipigwa marufuku Waandishi habari kwenda wenyewe kutafuta habari Yanayoendelea uko !!!!

na Ukitaka habari basi wamuone tu mtu alieidhinishwa kutoa habari uyo tu..!!!!

nadhani mnakumbuka yupo mwandish adi leo akuna maelezo ya kutosha yupo wapi Azori gwanda uyu mwandish alikuwa mwandishi wa habari za Uchunguzi!!!!

na alipotelea uko uko adi kesho atujui yupo wapi!!!!

Uko Israel napo baada ya kutangazwa iyo Sheria wapo watu Wafukunyuzi wamepotea awajulikani walipo!!!!

kwaiyo mfahamu Israel atakama awatangazi vilio usidhani kweli akuna vilio au lile shambulizi la IRAN kule iraq kwenye kambi za Jesh la Marekani kweli akuna Vifo apana sio kweli ndege za JESH zilikuwa zinaamisha watu kuwapeleka kambi iliopo Kuweit ya Marekani iyoiyo na kisha kutokea apo ndege kubwa zilikuwa zinatoka apo Kuweit kwenda Ujermani kwanye Kambi kubwa Zaid ULaya!!!!

apo Israel kweli kafa Mpalestina m1 Faamu unafichwa habari na aliekuficha ni siku ile ilipopitishwa iyo Sheria !!!!

Unatakiwa ujiongeza mwenyewe Makombora mengine yametua Mjini kabisa nako apakuwepo na watu !!!!! Ile Vita Mura. Watu wanaficha Habari nyingi!!!!
 
Back
Top Bottom