mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Njia za mungu sio za mwanaadamu , huwezi kumpangia mungu afanye nini wakati gani, hawa unaowaona leo wanaua watu waliuliwa kwa kubanikwa kama kuku zama hizo, farao pia alikuwa na nguvu hadi akajiita mungu, wale waliobaki hadi leo ndio walisimulia mungu alifanya nini baada ya hapo, muda ni mwalimu mzuri sanaIfike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu
Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe!
Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu
Je, haoni?
Je, kawaacha kwa maksudi ili waangamie na kuisha?
Kama yupo, yuko wapi na anafanya nini?
Je. Ni kiziwi hata asisikie mabomu yanayounguruma kila leo?
Kajificha kuogopa wauwaji mayahudi?
Yupo...anafanya nini sasa, mbona hatoi msaada?
Ukiulizwa mungu ulishawahi kumuona utajibu vipi?Njia za mungu sio za mwanaadamu , huwezi kumpangia mungu afanye nini wakati gani, hawa unaowaona leo wanaua watu waliuliwa kwa kubanikwa kama kuku zama hizo, farao pia alikuwa na nguvu hadi akajiita mungu, wale waliobaki hadi leo ndio walisimulia mungu alifanya nini baada ya hapo, muda ni mwalimu mzuri sana
Nimeona dalili nyingi ambazo zinaashiria uwepo wake kwa 1000%Ukiulizwa mungu ulishawahi kumuona utajibu vipi?
Nimekuuliza umewahi kumuona mungu wewe unasema dalili aiseeNimeona dalili nyingi ambazo zinaashiria uwepo wake kwa 1000%
Hivi ni wayahudi au mayahudi?. Watanzania au mtanzania?. Ukiandika Mayahudi au Matanzania nyuma yake ni chuki. Kuhusu Mungu ni kwamba watu wamekataa kuwa na Mungu katika fahamu zao Mungu naye amewaacha wafuate akili zao zisizokua na matunda mwisho wanatendeana ubaya wa kila namna.Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu
Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe!
Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu
Je, haoni?
Je, kawaacha kwa maksudi ili waangamie na kuisha?
Kama yupo, yuko wapi na anafanya nini?
Je. Ni kiziwi hata asisikie mabomu yanayounguruma kila leo?
Kajificha kuogopa wauwaji mayahudi?
Yupo...anafanya nini sasa, mbona hatoi msaada?
Achana na Allah kwa sasa bado amefunga zile sitaIfike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu
Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe!
Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu
Je, haoni?
Je, kawaacha kwa maksudi ili waangamie na kuisha?
Kama yupo, yuko wapi na anafanya nini?
Je. Ni kiziwi hata asisikie mabomu yanayounguruma kila leo?
Kajificha kuogopa wauwaji mayahudi?
Yupo...anafanya nini sasa, mbona hatoi msaada?
Inafikilisha Allah ameshindwa kuwasaidia warabu wenzie.Wali sherehekea Iddi hao juzi tu hapa
Kwa hiyo tumpe mda. Allah?Njia za mungu sio za mwanaadamu , huwezi kumpangia mungu afanye nini wakati gani, hawa unaowaona leo wanaua watu waliuliwa kwa kubanikwa kama kuku zama hizo, farao pia alikuwa na nguvu hadi akajiita mungu, wale waliobaki hadi leo ndio walisimulia mungu alifanya nini baada ya hapo, muda ni mwalimu mzuri sana
Wewe subiri kufa tu ,maana huna cha kumpa kama babu zako pia walivyokuwa hawana cha kumpa kipindi hitler na farao wanawaua waisrael, na kipindi babu zako walivyokuwa wanacharazwa mijeledi na wazungu na kuporwa mali zao iKwa hiyo tumpe mda. Allah?
Allahu AkbarWewe subiri kufa tu ,maana huna cha kumpa kama babu zako pia walivyokuwa hawana cha kumpa kipindi hitler na farao wanawaua waisrael, na kipindi babu zako walivyokuwa wanacharazwa mijeledi na wazungu na kuporwa mali zao i
Hayo ya allah muachie allah
Mara yako ya mwisho kuiona hewa au oxygen ilikua lini?Ukiulizwa mungu ulishawahi kumuona utajibu vipi?