Wapangaji Wenzangu hizi kero Sasa. Asubuhi yote hii kukaa Uwani wengine ni shida

Mimi kuna kipindi nilikuwa nakunya mwanamboka kwenye choo cha uma kwa sababv ya mambo haya.
 
Mkuu muda mzuri wa kunya ni alfajiri kabla jua halijachomoza sasa wewe unasubiri mpaka kumepambazuka kabisa ndio waenda kunya unategemea nini
 
Mambo ya waswahili hayo, kukaa uwani bila sababu za msingi na kupiga soga tu
 
Unajitesa bure. Huko uwani ulikoenda ndio sehemu mahsusi kwa ajili ya kulipulia mabomu. Kwanza kupakua mzigo ni starehe usiyohitaji kubaniwa. Kama wanapenda kusikiliza wapuuze. Kwani wanafaidika nini. Usijitese ndugu.
 
chonde chonde,usije tu ukajitengenezea throwing toilet kama India
 
Mkiambiwa mtafute vyumba vya wapangaji wachache hamtaki
 
Pole sana😂😂, jipange kodi ikiisha hapo kapange chumba cha 'sef kontena' itasaidia uweze kujiachia kwa raha zako mda wowote.
Hapa itabidi tu nifanye hivyo maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…