Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,761
- 5,276
Weka ndoo kubwa yenye mfuniko chumbani na kapu la masizi ya mkaa. Unaenda kumwaga usiku. Problem solved
Umenikumbusha mbali sana mkuu,nimewahi ishi na wapangaji wenye tabia hizo,Ushauri wangu, ni kuwaambia kupitia vikao vyenu ninyi Wapangaji.Habarini za Asubuhi Bila shaka mu wazima wote wa Afya
Mada yetu ni kuhusu hii kero ya wapangaji ninapokaa hapa yaani imekuwa shida sana Wanaamua tu kukaa uwani wengine hawana hata kazi Wengi ni wanawake unakuta labda mmoja ndio tu anafua au anafangia uwani, lakini sasa wapo njiani na karibu na njia ya kwenda msalani.
Shida ipo unapiga hesabu ukifika msalani ni kumwanga maji weee ili wasisikie mabomu yanayotoka huko Najikaza lakini wapi, nashindwa nawaskilizia labda watatoka lakini wapi?
Na ukishatoka nje basi wote watakaa kimya unawasalimia wote wataitikia basi huyo watakusindikiza mpaka chooni kwa macho wakati huo wapo kimya, unakaa mule usikii wanaongea tena wanabaki kusikilizia kinachotokea msalani kwa kweli na mimi humu najikakamua kweli kweli ili sound isitoke nje. Nisije jifedhesha nabaki nabaki namwaga maji tu,
Kama wewe ni mpangaji Mwenzangu na umesoma huu uzi na umeshanijua basi naomba hii tabia yenu iishe.
Duh!!Umri huo bado ujaacha kwenda chooni jamaa.
Hapo wamekaa wamevaa maderaa au khanga moko tu...Hama uswazi mkuu, hayo ndio maisha yao na huwezi kuwabadilisha kamwe.
Mkuu vilevile nilitamani maji ya bomba yangekuwepo ningefungulia mpaka mwisho nijisaidie kwa raha zangu😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uswazi raha sana...ukiingia fungua majinkwenye ndoo hata kama yamejaa wewe acha yajae tu...ila jua kuna mmoja wa wapangaji atakumaindi bilinya maji...
kama ni mwanaume ukitoka unabutua wimbo wa shemeji wa msaga sugu loud spiker...
Ntajitahidi aisee
Duh..Mkuu vilevile nilitamani maji ya bomba yangekuwepo ningefungulia mpaka mwisho nijisaidie kwa raha zangu😂
Mkuu umewakosea sana kumbuka mama yako ni mwanamke, mkeo na vipi mabinti zako.Wanawake wana akili fupi sana sijui huwa wana maana gani kufanya wanayoyafanya ndio maana Mungu aliwaona wao ndio wa kupewa mashimo mawili(mbele 1,nyuma 1)
Aiseeee, hongera kwa kuzaliwa na mwanaume mwenzioWanawake wana akili fupi sana sijui huwa wana maana gani kufanya wanayoyafanya ndio maana Mungu aliwaona wao ndio wa kupewa mashimo mawili(mbele 1,nyuma 1)