Wapangaji Wenzangu hizi kero Sasa. Asubuhi yote hii kukaa Uwani wengine ni shida

Weka ndoo kubwa yenye mfuniko chumbani na kapu la masizi ya mkaa. Unaenda kumwaga usiku. Problem solved
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu,nimewahi ishi na wapangaji wenye tabia hizo,Ushauri wangu, ni kuwaambia kupitia vikao vyenu ninyi Wapangaji.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Uswazi raha sana...ukiingia fungua majinkwenye ndoo hata kama yamejaa wewe acha yajae tu...ila jua kuna mmoja wa wapangaji atakumaindi bilinya maji...
kama ni mwanaume ukitoka unabutua wimbo wa shemeji wa msaga sugu loud spiker...
 
Mkuu vilevile nilitamani maji ya bomba yangekuwepo ningefungulia mpaka mwisho nijisaidie kwa raha zanguπŸ˜‚
 
Mkuu vilevile nilitamani maji ya bomba yangekuwepo ningefungulia mpaka mwisho nijisaidie kwa raha zanguπŸ˜‚
Duh..
Kwa hiyo unamwaga maji mpaka yaishe, dah! Na usipomwaga maji wanasikia kila kitu maana wametuliaaaaaaa wanakusikilizia....
🀣🀣🀣🀣🀣
Nawaonea huruma watoto wa kishua ambao hawajaishi haya maisha ya adventure...siku za baadae utakuwa na cha kuongea kuhusu uswazi...ni burudani fulani.
 
...[emoji3] Achia salama mzigo wako Comrade!
Kwani wao huwa hawaendagi Choo ???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunya ni starehe, we usijibane bane. Achia mambo kwa raha zako, watajijua.
 
inakera sana wanakaa kutwa nzima sijui wanaongea nini. mm wa kwangu wanaenda mbali zaidi wanafunga mageti mtu unakula zako ulabu ukisahau ufunguo wanakufungia sasa ukalale wapi
 
Wanawake wana akili fupi sana sijui huwa wana maana gani kufanya wanayoyafanya ndio maana Mungu aliwaona wao ndio wa kupewa mashimo mawili(mbele 1,nyuma 1)
 
Wanawake wana akili fupi sana sijui huwa wana maana gani kufanya wanayoyafanya ndio maana Mungu aliwaona wao ndio wa kupewa mashimo mawili(mbele 1,nyuma 1)
Mkuu umewakosea sana kumbuka mama yako ni mwanamke, mkeo na vipi mabinti zako.
 
Wanawake wana akili fupi sana sijui huwa wana maana gani kufanya wanayoyafanya ndio maana Mungu aliwaona wao ndio wa kupewa mashimo mawili(mbele 1,nyuma 1)
Aiseeee, hongera kwa kuzaliwa na mwanaume mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…