Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

storyteller

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,844
Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka.

Mfano kwachaga atasema naenda moshi. Muhaya atasema naenda bukoba, mngoni atasema ashuka zake songea nk.

Ila inanishangaza kwa Wapare. Mara nyingi sana utaskia naenda Upareni. Au atamuuliza mtu "hivi lini unapandisha upareni" na wakati wana sehemu zao km Usangi, Ugweno, Chome, Same nk.

Ni mazoea ama kuna sababu maalum?

david-marcu-78A265wPiO4-unsplash.jpg
 
Upareni Raha sana,nilishawahi kufika kisiwani,mkomazi,mwanga,ugweno pamoja na lake jipe. Wapare ni wakarimu na wanapenda kutiana. I love wapare for life.
Kah... Kwa iyo mzee unakumbuka kudengana tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haukula makande na maparachichi

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Kah... Kwa iyo mzee unakumbuka kudengana tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haukula makande na maparachichi

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Namaanisha acha Upareni paitwe Upareni. Ile sehemu ni unique pamoja na watu wake. Panastahili kuitwa jina la kipekee sio kujumuishwa na maeneo mengine. Sikula makande ila nilikula sana samaki pamoja na parachichi
 
Back
Top Bottom