Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka... Mfano kwa mchaga atasema naenda moshi... Muhaya atasema naenda bukoba, mngoni atasema ashuka zake songea nk.
Ila inanishangaza kwa wapare... Mara nyingi sana utaskia naenda upareni... Au atamuuliza mtu "hivi lini unapandisha upareni" na wakati wana sehem zao km usangi, ugweno, chome, same nk...

Ni mazoea ama kuna sababu maalum? View attachment 2443480

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Wapare ni wamoja
 
Wanajipendekezaga kwa wachaga, wanasemaga 'naenda moshi'
 
Wasambaa nao husema Sambaani au Lushoto. Kama vile Wachaga wanavyosema Moshi ili kupunguza maswali yasiyo na ulazima kuelezea zaidi wapi specific unaenda
 
Back
Top Bottom