Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Inasemekana wanawake wanao kah hedarau kushuka chini huko mara nyingi ni wnaawake malaya sana

Inshort ni kuwa wapare ni malay mno kuzidi wachaga wamendekeza umalaya na sna

Ukio mpare jiandaee kupigiwa na binamu zake ,wapare wenzaao
Acha makasiriko. Wapare ni wife material. Sio kwasababu wanapenda sex ndio iwe sababu ya umalaya. Mtu anaweza penda ngono Kwa mtu wake mmoja tu.
 
Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka... Mfano kwa mchaga atasema naenda moshi... Muhaya atasema naenda bukoba, mngoni atasema ashuka zake songea nk.
Ila inanishangaza kwa wapare... Mara nyingi sana utaskia naenda upareni... Au atamuuliza mtu "hivi lini unapandisha upareni" na wakati wana sehem zao km usangi, ugweno, chome, same nk...

Ni mazoea ama kuna sababu maalum?

View attachment 2443480
Mpaka leo upareni ni nchi.
 
Back
Top Bottom