Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ukisikia naenda Upareni ujue anaenda vilingeni kuloga.Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka... Mfano kwa mchaga atasema naenda moshi... Muhaya atasema naenda bukoba, mngoni atasema ashuka zake songea nk.
Ila inanishangaza kwa wapare... Mara nyingi sana utaskia naenda upareni... Au atamuuliza mtu "hivi lini unapandisha upareni" na wakati wana sehem zao km usangi, ugweno, chome, same nk...
Ni mazoea ama kuna sababu maalum?
View attachment 2443480
Wapare fambaf sana
ERoni