Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Ni unanga wa kutojua jiografia ya nchi yakoLakini Moshi ndio imebeba Jina la mkoa hata nikiwa mbeya au popote pale nikisema na enda Moshi inajulikana naenda kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni unanga wa kutojua jiografia ya nchi yakoLakini Moshi ndio imebeba Jina la mkoa hata nikiwa mbeya au popote pale nikisema na enda Moshi inajulikana naenda kilimanjaro
Ubahili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umearibu sehemu moja tu
na yule askari nasikia alikuwa ni wa upareniLabda lile sanamu la askari walilolikimbia
Hilo pi sikatai mkuu ni kweli [emoji1787][emoji1787]Acha makasiriko. Wapare ni wife material. Sio kwasababu wanapenda sex ndio iwe sababu ya umalaya. Mtu anaweza penda ngono Kwa mtu wake mmoja tu.
Hajui. Wengi mjini mnajikutaga mnaenda moshi kumbe sio kwenu. Takataka wewe.mleta mada kasema wengi wanasema Upareni yaani Paris sasa wewe umeshamuona mpare anaenda Upareni alafu aseme anaenda Moshi
labda ukuta anaenda Moshi kweli pia Moshi kuna kipi cha ajabu hadi wajipendekeze wewe mama
Kwahiyo zile story za ubahili na uchoyo kumbe si za kweli.Upareni Raha sana,nilishawahi kufika kisiwani,mkomazi,mwanga,ugweno pamoja na lake jipe. Wapare ni wakarimu. I love wapare for life.
Hafuhi na KilaweniKwetu Upareni kaka kitovu changu kiko huko mahali panaitwa Store Mombasa
Nani ajipendekeze kwa kabila la hovyo hivo majizi yasiyo aminika hata kupewa nchiWanajipendekezaga kwa wachaga, wanasemaga 'naenda moshi'
sawa mamaHajui. Wengi mjini mnajikutaga mnaenda moshi kumbe sio kwenu. Takataka wewe.
Nani ajipendekeze kwa kabila la hovyo hivo majizi yasiyo aminika hata kupewa nchi
Du mnakaa milimani na amna vigimbi miguuniEee sisi tunaenda milimani, upareni. Moshi ni kwa wachagga, kwetu ni upareni..milimani.
Kabla ya kufika ugweno pitia hapa Same ule mshombe na nyama choma kidogo.Karibu ugweno
Ahsante kakaKwetu Upareni kaka kitovu changu kiko huko mahali panaitwa Store Mombasa
Anawpangia wapare cha kuaga!! Upare ndio safi..Tunaenda upareni, kama hutaki acha.