storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Kwa iyo kumbe ni swaga tu... Me nikadhani labda kunansababu maalumHuwa wanamaanisha wanakwenda kwao huko vijijini, ndani ndani na milimani, safu za hiyo milima zinaitwa milima ya Upare.
Habari mkuu
Mimi mzima wa afyaNjema, kwema?
Kah... Kwa iyo mzee unakumbuka kudengana tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haukula makande na maparachichiUpareni Raha sana,nilishawahi kufika kisiwani,mkomazi,mwanga,ugweno pamoja na lake jipe. Wapare ni wakarimu na wanapenda kutiana. I love wapare for life.
Mshana jr kwao Lushoto sasa upare wapi na wapi!Tusubirie Mshana Jr atakuja kufafanua hapa.
Kumbe yule jamaa sio mpare??Mshana jr kwao Lushoto sasa upale wapi na wapi!
Namaanisha acha Upareni paitwe Upareni. Ile sehemu ni unique pamoja na watu wake. Panastahili kuitwa jina la kipekee sio kujumuishwa na maeneo mengine. Sikula makande ila nilikula sana samaki pamoja na parachichiKah... Kwa iyo mzee unakumbuka kudengana tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haukula makande na maparachichi
Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Mshana jr kwao Lushoto sasa upale wapi na wapi !.
Hahah huyo jamaa jau sana yaan anataka akapte utelezi wa uparenNakumbuka kuna demu alipita mbele yetu ana matiti makubwa sana... Jamaa aksema kule upareni yanitwa "tutonge" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Tutonge kama sikosei ni “twende”. Kwanini wanayaita hivyo?Nakumbuka kuna demu alipita mbele yetu ana matiti makubwa sana... Jamaa aksema kule upareni yanitwa "tutonge" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Panastahili kuitwa jina gani mkuu?Namaanisha acha Upareni paitwe Upareni. Ile sehemu ni unique pamoja na watu wake. Panastahili kuitwa jina la kipekee sio kujumuishwa na maeneo mengine. Sikula makande ila nilikula sana samaki pamoja na parachichi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umearibu sehemu moja tuUpareni Raha sana,nilishawahi kufika kisiwani,mkomazi,mwanga,ugweno pamoja na lake jipe. Wapare ni wakarimu na wanapenda kutiana. I love wapare for life.