Piga mimba hizo tabia zote zitayeyuka wewe fanya nilivyokushauri mimi.Sasa she call me only when she a help nachoka Sana
Njooni utuambie chochote kuhusu WAPARE na namna ya kuishi nao
Ushauri wa hovyo kutolewa tangu wiki hii imeanza.Piga mimba hizo tabia zote zitayeyuka wewe fanya nilivyokushauri mimi.
Sawa, tunajua unapitia wakati mgumu lakini jitahidi kudhibiti hasira zako maana hasira huwa zinakaa kifuani mwa mpumbavu.Haya wahi basha wako
Anasema hapigiwi simu mpaka akiwa anataka hela akishampa hela ndio imetoka hio mpaka hela ziishe zikiisha anapiga tena simu anaomba zingine, nimemwambia dawa ya huyo ni kumpiga mimba hio tabia itaacha mara moja.Taja hizo tabia zake mbaya tujue kama ni mbaya kweli au wewe una gubu!
Do act like you know me.Sawa, tunajua unapitia wakati mgumu lakini jitahidi kudhibiti hasira zako maana hasira huwa zinakaa kifuani mwa mpumbavu.
Safi, mimi kazi niliyopewa asubuhi hii ni kukunyoosha tu.Do act like you know me.
Akimbie mwendo wa ngiri mkia juu,hapendwi huyo asisingizie upare!Anasema hapigiwi simu mpaka akiwa anataka hela akishampa hela ndio imetoka hio mpaka hela ziishe zikiisha anapiga tena simu anaomba zingine, nimemwambia dawa ya huyo ni kumpiga mimba hio tabia itaacha mara moja.
Don't act like you know me. Hii ni last warning.Safi, mimi kazi niliyopewa asubuhi hii ni kukunyoosha tu.
Kaka Acha tu tena Kwa force unaombwaAnasema hapigiwi simu mpaka akiwa anataka hela akishampa hela ndio imetoka hio mpaka hela ziishe zikiisha anapiga tena simu anaomba zingine, nimemwambia dawa ya huyo ni kumpiga mimba hio tabia itaacha mara moja.
Hapo ni kushika na kupiga mimba ndicho kilichobakia huwezi basi achana nae ni hivyo km unaweza basi mpige mimba km hakupendi basi atampenda mwanao akiwaa tumboni kwake, game over.Akimbie mwendo wa ngiri mkia juu,hapendwi huyo asisingizie upare!
Piga mimba hio ndio last option huwezi achia mali watu waendelee kujipigia hizo red flags huzioni au?Kaka Acha tu tena Kwa force unaombwa
Leo ninejua we ni mpareTaja hizo tabia zake mbaya tujue kama ni mbaya kweli au wewe una gubu!
Atasema unampiga mikwara😃Don't act like you know me. Hii ni last warning.
Hahahaha.. Shigha avae..🙌🏿🤣Wewe ni Mdhuti
Uthimanije Kinduuu.