Wapare maumbo na sura wamejaaliwa ila tabia sasa, inafikirisha

Wapare maumbo na sura wamejaaliwa ila tabia sasa, inafikirisha

Habari za mda huu wanajamvi

Huyu wangu tuliokotana mwaka jana mwezi WA 3 Aisee nakajihisi nimepata Ila baada ya siku kuenda

Aisee naona hafai na nilipatikana mbona wanawake wa kipare huwa hawaeleweki japokuwa ni wazuri nilishauriwa Sana Ila nikapagawa na uzuri

Sasa she call me only when she a help nachoka Sana

Njooni utuambie chochote kuhusu WAPARE na namna ya kuishi nao
Una hakika wote wako hivyo?
 
TATIZO LIPO KWAKO...
 
Mimba sio rahisi hivyo mdogo wangu,huwezi kumpa mimba mwanamke anayejielewa bila yeye kutaka!
Mdogo wangu mimi naweza na sio tu kwamba naweza nilishaweza mara kadhaa ila mara kadhaa nimekataa kuwatia mimba wanawake waliotaka niwatie mimba ila wale waliokua hawataki wote nimewatia mimba na wana watoto
 
Sawa familia nakubari sana kwa maamuzi yetu km familia na kweli kabisa sisi km familia hatutakubari wewe upotee kabisa na usionekane
One love fam. Uwe na siku njema yenye mafanikio.
Jiepushe na mambo au threads zinazoku trigger ufanye uncalled reactions
 
Back
Top Bottom