Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Wapare wengi ni Wasabato 80%+Acha mambo yako we mchina, kwamba wapare ni wasabato tu!
Wapare wengi ni Wasabato 80%+Acha mambo yako we mchina, kwamba wapare ni wasabato tu!
Mademu wengi wa Kipare ambao ni Wasabato ni malaya Jumamosi ni nadra sana kukupea mbususu wanashika sabato😂😂😂
Sasa unaenda kusema mademu wa kisabato ni Malaya😄
Nipe kiashiria watu wanasoma hapa
Mademu wengi wa Kipare ambao ni Wasabato ni malaya Jumamosi ni nadra sana kukupea mbususu wanashika sabato
Uliza tukuambie we mchina.Wapare wengi ni Wasabato 80%+
Dada zangu ni wema sana ila hawapendi miyeyusho😂Habari za mda huu wanajamvi
Huyu wangu tuliokotana mwaka jana mwezi WA 3 Aisee nakajihisi nimepata Ila baada ya siku kuenda
Aisee naona hafai na nilipatikana mbona wanawake wa kipare huwa hawaeleweki japokuwa ni wazuri nilishauriwa Sana Ila nikapagawa na uzuri
Sasa she call me only when she need a help nachoka Sana
Njooni utuambie chochote kuhusu WAPARE na namna ya kuishi nao