Wapare maumbo na sura wamejaaliwa ila tabia sasa, inafikirisha

Wapare maumbo na sura wamejaaliwa ila tabia sasa, inafikirisha

Mimi nakuambia kwa Hapa Tanzania hakuna kabila lolote linalosogea kwa Wapare kwa Uzuri ule wa Generally
Kama unabisha Taja hilo kabila alafu tubishane kwa hoja.

Uzuri
1. Uzuri wa maumbile
2. Uzuri wa Sura
3. Uzuri wa Akili, mitazamo, fikra na elimu.
Hayo Mambo yote matatu wanawake wa kipare wanakimbiza vibaya.

Hakuna kabila linalosogea hapo labda jirani zao wachaga ambao Siku hizi nao maumbo wanakuja vizuri.

Taja
Mkuu hebu, zunguka hata nusu ya bongo ndio uje useme hivyo, nine zunguka na hao wapare ni wa kulenga sana.
 
Wapare huwajui Mkuu.

Kwa Tanzania hii hakuna kabila linalosogelea Wapare kwa Uzuri Ile Generally

Kuanzia sura, rangi, umbo, akili n.k.
Alafu wanafuatiwa na Wachaga
Wapare ambao nimewahi kudeal nao sijawahi kuona wenye urembo wa kuwazidi makabila mengi ya Tanzania

Mabinti wao ni maanduje kwanza halafu pili ni malaya
 
Mimi nakuambia kwa Hapa Tanzania hakuna kabila lolote linalosogea kwa Wapare kwa Uzuri ule wa Generally
Kama unabisha Taja hilo kabila alafu tubishane kwa hoja.

Uzuri
1. Uzuri wa maumbile
2. Uzuri wa Sura
3. Uzuri wa Akili, mitazamo, fikra na elimu.
Hayo Mambo yote matatu wanawake wa kipare wanakimbiza vibaya.

Hakuna kabila linalosogea hapo labda jirani zao wachaga ambao Siku hizi nao maumbo wanakuja vizuri.

Taja
Unawajua wapogoro wa Ulanga ,Morogoro?
 
Habari za mda huu wanajamvi

Huyu wangu tuliokotana mwaka jana mwezi WA 3 Aisee nakajihisi nimepata Ila baada ya siku kuenda

Aisee naona hafai na nilipatikana mbona wanawake wa kipare huwa hawaeleweki japokuwa ni wazuri nilishauriwa Sana Ila nikapagawa na uzuri

Sasa she call me only when she- a help nachoka Sana

Njooni utuambie chochote kuhusu WAPARE na namna ya kuishi nao
Kiingereza mwenyezi mungu akilaani.


Jana nipo katika Afisi moja ya serikali hapa Zanzibar; kijana anaandika longly badala ya wrongly!! Halafu unawakuta wanashadidia mizee iondoke maafisini
 
Kiingereza mwenyezi mungu akilaani.


Jana nipo katika Afisi moja ya serikali hapa Zanzibar; kijana anaandika longly badala ya wrongly!! Halafu unawakuta wanashadidia mizee iondoke maafisini
Watu mnapiga kwenye mishono🤣
 
Watu mnapiga kwenye mishono🤣
Najua siku hizi ili mtu aonekane msomi lazima achanganye kiinglish na kiswahili. Kama huna uhakika kwanini usiulize AI ikanyorosha kiinglish chako? Kumbe wanaopeleka watoto wao English Medium hawafanyi makosa, kama hali ni hii
 
Binti zetu wa kipare ni warembo na wazuri. Sura ndefu na pua zilizojing'inia.

Kuhusu tabia sio wote wenye tabia hizo mbaya.

Karibu upareni

We jamaa kumbe ni Mpare,
Si ajabu ulikua unashadadia kuto kutunza mtoto alie ng'ang'aniwa na mama yake 😀

Nyinyi watu muwe mnaoana wenyewe kwa wenyewe tu.
 
Back
Top Bottom