Wapare maumbo na sura wamejaaliwa ila tabia sasa, inafikirisha

Wapare maumbo na sura wamejaaliwa ila tabia sasa, inafikirisha

Habari za mda huu wanajamvi

Huyu wangu tuliokotana mwaka jana mwezi WA 3 Aisee nakajihisi nimepata Ila baada ya siku kuenda

Aisee naona hafai na nilipatikana mbona wanawake wa kipare huwa hawaeleweki japokuwa ni wazuri nilishauriwa Sana Ila nikapagawa na uzuri

Sasa she call me only when she a help nachoka Sana

Njooni utuambie chochote kuhusu WAPARE na namna ya kuishi nao

Binti zetu wa kipare ni warembo na wazuri. Sura ndefu na pua zilizojing'inia.

Kuhusu tabia sio wote wenye tabia hizo mbaya.

Karibu upareni
 
mwanamke yoyote mzuri bila kujali kabila
anaonwa na wengi
ni sawa na mwanaume mwenye pesa

Watanzania wengi Wana kasumba mbaya wakiona mdada mzuri hata kama hawamjui watamuita Malaya.

Au wakiona kijana Handsome boy wao watajaji ni playboy

Lakini tukija kwenye indicators za umalaya utashangaa hawamo.

Mfano kama Wapare wangekuwa Malaya tungeona haya
1. Wao kuwa kwenye top list ya Jamie zenye maambukizi ya Magonjwa ya zinaa.

2. Wao kuongoza kwa ndoa za utotoni

3. Wao kuongoza kwa single mothers kabla ya ndoa.

4. Wao kuongoza kwa talaka zinazosababishwa na Ugoni n.k.

5. Wao kufanya biashara za ngono
Lakini kote huko Wapare hawapo
 
Wanawake wa kipare wapo vizuri..kwanza niwavumilivu kwenye ndoa, sio wajeuri, niwatafutaji, sio rahisi kuchepuka na yoyote hata na ndugu yake kama wabena..wanaheshima, wanapenda ndugu wote bila ubaguzi.
 
Acha ufala, tuna kuheshimu nawe jiheshimu mtibeli

Mimi nakuambia kwa Hapa Tanzania hakuna kabila lolote linalosogea kwa Wapare kwa Uzuri ule wa Generally
Kama unabisha Taja hilo kabila alafu tubishane kwa hoja.

Uzuri
1. Uzuri wa maumbile
2. Uzuri wa Sura
3. Uzuri wa Akili, mitazamo, fikra na elimu.
Hayo Mambo yote matatu wanawake wa kipare wanakimbiza vibaya.

Hakuna kabila linalosogea hapo labda jirani zao wachaga ambao Siku hizi nao maumbo wanakuja vizuri.

Taja
 
Back
Top Bottom