Wapare maumbo na sura wamejaaliwa ila tabia sasa, inafikirisha

Huyu wa kwangu amezidi hii 100%
Yaani AIRTEL money ana 500000+
lakini kifurushi kujiunga MBINE yeye ANABEEP TU
Aisee huyo anaumwa kichwani, kimbiaa.

Hawa ndio wanatuona Wanaume ni Ndezi, na ndivyo anakuona. Yaani anahubiri ufiliske akucheke kwa ujinga wako.

Unakuta kwao anajenga ila wewe hata Baba yako hujambadilishia mlango uliochanika
 
Hapa huyo ni nimeoa kabisa huu ni mwa wa 15 yaani UHUSIANO + NDOA
NDOA=11+
Hizo hela ni zangu naweka kwake maana mimi naweza wiki nzima kila siku naweza kununua nguo halafu zisivaliwe.
NB;UKIONA MUNGU AMEKUJAALIA KUOA MWANAMKE WA KIPARE UJUE AMEKUPANGIA UWE TAJIRI
 
Huyu wa kwangu amezidi hii 100%
Yaani AIRTEL money ana 500000+
lakini kifurushi kujiunga MBINE yeye ANABEEP TU

Ewaaa, Hawa ndo wapare sasa kuna kipindi demu wangu alikua analeta hizo pigo, akiunga dakika mia anataka azitumie mwezi

Sasa akikupigia anaongea kidogo then utaskia nipigie, Nikamwambia ujinga huo sifanyi mm.

Vocha ya buku tu mtiani utanunua pampasi kweli.

Saivi naona kaacha 😀
 
Hapa huyo ni nimeoa kabisa huu ni mwa wa 15 yaani UHUSIANO + NDOA
NDOA=11+
Hizo hela ni zangu naweka kwake maana mimi naweza wiki nzima kila siku naweza kununua nguo halafu zisivaliwe.
NB;UKIONA MUNGU AMEKUJAALIA KUOA MWANAMKE WA KIPARE UJUE AMEKUPANGIA UWE TAJIRI

Yap ukioa mpare mtapata maendeleo sana tu, maana ni watafutaji na sio watapanaji.

Shida yangu ni kupungua kwa Trust na mapenzi kutokana na ubahiri unao zaa uchoyo.

Mfano umeacha 20k, Familia ile vzuri unarudi unaskia walikua makande au ugari viazi 😀

Hela iliobaki kapeleka kikoba, na siku akichukua hela kikoba hutalamba hata 100 😀
 
Ewaaa, Hawa ndo wapare sasa kuna kipindi demu wangu alikua analeta hizo pigo, akiunga dakika mia anataka azitumie mwezi

Sasa akikupigia anaongea kidogo then utaskia nipigie, Nikamwambia ujinga huo sifanyi mm.

Vocha ya buku tu mtiani utanunua pampasi kweli.

Saivi naona kaacha 😀
Thubutu!Huyu mtu akiacha UBAHIRI ujue mwezi hauishi Yesu anarudi duniani
 
Yap ukioa mpare mtapata maendeleo sana tu, maana ni watafutaji na sio watapanaji.

Shida yangu ni kupungua kwa Trust na mapenzi kutokana na ubahiri unao zaa uchoyo.

Mfano umeacha 20k, Familia ile vzuri unarudi unaskia walikua makande au ugari viazi 😀

Hela iliobaki kapeleka kikoba, na siku akichukua hela kikoba hutalamba hata 100 😀
Ndugu yangu huo sio Uchoyo hivi wewe ujinyime kutumia hela halafu umwache mwenzako aitapanye kweli haki hiyo?
 
Ewaaa, Hawa ndo wapare sasa kuna kipindi demu wangu alikua analeta hizo pigo, akiunga dakika mia anataka azitumie mwezi

Sasa akikupigia anaongea kidogo then utaskia nipigie, Nikamwambia ujinga huo sifanyi mm.

Vocha ya buku tu mtiani utanunua pampasi kweli.

Saivi naona kaacha 😀
Ndio Yule Hana pogo za mahaba ameka a kimeni meni
 
Anasema hapigiwi simu mpaka akiwa anataka hela akishampa hela ndio imetoka hio mpaka hela ziishe zikiisha anapiga tena simu anaomba zingine, nimemwambia dawa ya huyo ni kumpiga mimba hio tabia itaacha mara moja.
Kwa mwanamke mjuaji na mlamba hela, ataishi na wewe kimkakati. Sio rahisi kumbebesha mimba bila maamuzi yake. Utatwanga utwangavyo mpaka pala lipasuke magaga lakini mimba huoni ng'ooo!
 
Labda sio mimi na huyo unaemzungumzia hapo juu kwa maelezo yako ya kufichaficha huyo ni mwanamke malaya ondoa hio mjuaji maana najua ndio malaya hapati mimba mpaka aamue mwenyewe ila hawa wengine ambao hawajafika levels za umalaya kiasi hicho unamuweka tu na inajaa
 
Back
Top Bottom