Genta Ni Mtutsi Kwa jina la Twaha Bigirimana,Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.
Hivi hili kabila linapatikana wapi?Sisi Wanguu tujisifie nani?
TatemkuuHahahaha [emoji23] Wasambaa je??[emoji23]
Where are we wahehe?😂😂Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.
Wewe upo wap? Kibati,ndole,pandambili,kinda,kibogoji,matale ama wapi?Sisi Wanguu tujisifie nani?
Anajiitaga mtusi yulePopoma tangu lini akawa muhaya?
Binadamu Mtakatifu nipo kuwawakilishaHahahaha [emoji23] Wasambaa je??[emoji23]
Sawa sawaTatemkuu
N'vyedi mtumba!Binadamu Mtakatifu nipo kuwawakilisha
Sure, Noma sana sijui amewaza nini kuandika huu ujinga 🤔thread ya kijinga.