Wapare tunajivunia Mshana, Wanyakyusa Bujibuji, Wahaya GENTAMYCINE na Wasukuma Paskal Mayala

Wapare tunajivunia Mshana, Wanyakyusa Bujibuji, Wahaya GENTAMYCINE na Wasukuma Paskal Mayala

Mchawi mstaafu uende kanisani. Leo likizo ya kimaro imeisha na anarudi Tena pale kijitonyama. Ila bro Ukipita nyanda za juu kusini nitafute Mshana Jr tuongee na kushauriana mambo mawili matatu
Asante sana brother nitakutafuta kwa hakika.. Leo ni siku ya Bwana ni muhimu kuitakasa [emoji1545]
 
Mshana mbona ni msambaa wa sehemu moja kule Lushoto inaitwa Mtae.
Gentamycine Ni mtusi toka Burundi.
Mayala Hana usukuma wowote, born and bred in Dar.
Bujibuji Ni msafwa kutoka sehemu moja kule Mbeya inaitwa Nzovwe.
Huyo ni msukuma..haijalishi kazaliwa wapi
 
Nilikuwa natamani mno kulijua Kabila la GENTAMYCINE kumbe Jamaa ni Mhaya? Basi ndiyo maana.......!!!!!!
Mkuu wewe una id ngapi? Yani umeanzisha mada kujisifia na pia unakuja kuchangia na uku ukijipa like halafu bado kila mtu anajua ni weweGenta🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom