Wapare tunajivunia Mshana, Wanyakyusa Bujibuji, Wahaya GENTAMYCINE na Wasukuma Paskal Mayala

Mshana ana features za kisambaa zaidi kuliko kipare, japo msambaa na mpare ni mtoto wa mjomba na shangazi[emoji12]
Hebu itabidi nizitafute nizijue pengine kweli [emoji23]
 
Mshana ana features za kisambaa zaidi kuliko kipare, japo msambaa na mpare ni mtoto wa mjomba na shangazi😜
Mpare na msambaa ndio Wana ukaribu lkn mpare ni mpare mgosi ni mgosi two things differently.

Mshana Jr Mshana-Jr

Wasambaa wako very wise so mshana...si kwamba wapare sio lkn mshana falls katika usambara zaidi

Ni 100% featu za kigosi.

Karibu California Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…