Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Shule zetu zinafundisha watoto kujua kila kitu, unabisha mkuu? Tuanze kuorodhesha hapa masomo ya s/m.Kujua kila kitu kwa mtoto haiwezekani ila anaweza akajua mambo mengi nje ya mfumo rasmi wa elimu...
Mkuu kwa dunia ya sasa ya utandawazi mambo ya mtambuka watoto wanajifunza automatic tu, bila hata kumpa vitabu au magazeti.Kuna ya kukumbuka na kusahahu. Hata waliosom physics form six baada ya miaka 10 ukiwapa tena mtihani ule ule ni lazima waombe kujikumbusha kwanza kabla ya kuufanya...
Sidhani kama upo sahihiMkuu kwa dunia ya sasa ya utandawazi mambo ya mtambuka watoto wanajifunza automatic tu, bila hata kumpa vitabu au magazeti.
Fundisha watoto mambo ya sanaa(ubunifu, mziki, mpira nk), sayansi,teknolojia lugha na ujasiliamali ndio vinavyolipa kwa sasa.
Achana na mambo ya kutaja majina ya viongozi sijui vita ya libya na utopolo mwingine atavijua tu kupitia tv.
Tupo katika kipindi ambacho watoto wetu tunaweza kuwandaa vizuri zaidi kuliko wakati wowote ule.
Mfano hapa JF yu ajifunza mambo mengi mtambuka ambayo hatikuwahi kujifunza.
Wazazi wa sasa tujifunze the power of internet and harvest from it.
Kumfundisha mtoto kila kitu na yeye kujua kila kitu hayo ni mambo mawili tofauti kabisa mkuu. Bila shaka wewe pia ulipita katika mfumo wetu huu wa elimu. Je, unajua kila kitu?...Shule zetu zinafundisha watoto kujua kila kitu, unabisha mkuu?
Sio mbaya kama mtoto akijua mambo mengi lakini sio kujua kila kitu. Hata hawa professors wetu bado hawajui kila kitu...Je kuna watoto wanaweza kusuka ungo huko mashuleni?
Vipi kutumia kompyuta, kugonga misumari je wanaweza?
Vipi kuongea kingereza ?
Hakuna kujifunza "automatically" mkuu, ni lazima mtoto apewe muda wa kujifunza pamoja na support kutoka kwa wazazi. Kama unasema mtoto anaweza kujifunza pasipo kumpa vitabu wala magazeti, je ni wangapi wanamudu gharama za vifaa vya kisasa vya mawasiliano kama smartphones na laptops?...Mkuu kwa dunia ya sasa ya utandawazi mambo ya mtambuka watoto wanajifunza automatic tu, bila hata kumpa vitabu au magazeti.
Akiyajua haya pia hakuna ubaya hata kidogo mkuu...Fundisha watoto mambo ya sanaa(ubunifu, mziki, mpira nk), sayansi,teknolojia lugha na ujasiliamali ndio vinavyolipa kwa sasa.
Mtoto atayajua kupitia TV gani sasa wakati ukifika muda wa kutazama taarifa za habari unaangalia peke yako wakati wao bado wapo nje wanacheza au wapo busy na homeworks zisizoisha?Achana na mambo ya kutaja majina ya viongozi sijui vita ya libya na utopolo mwingine atavijua tu kupitia tv.
Kwa hapa umeongea point ya maanaTupo katika kipindi ambacho watoto wetu tunaweza kuwandaa vizuri zaidi kuliko wakati wowote ule.
Mfano hapa JF yu ajifunza mambo mengi mtambuka ambayo hatikuwahi kujifunza.
Wazazi wa sasa tujifunze the power of internet and harvest from it.
Kuna Silicon Dar pale kijitonyama na kuna Hub za watoto kama ile ya nani Ndoto Hub.What is Silicon Valley?
Weka usahihi wako ili tupime hoja yako na yangu.Sidhani kama upo sahihi
Hapa kila mtu anazungumzia jinsi ya kulea famila yake nyumbani kwake.Kama wewe unaangalia taarifa ya habari peke yako sio wazazi wote, usijumlishe mkui.Mtoto atayajua kupitia TV gani sasa wakati ukifika muda wa kutazama taarifa za habari unaangalia peke yako wakati wao bado wapo nje wanacheza au wapo busy na homeworks zisizoisha?
Waafrika hatukosi visingizio.Engineers wazuri sana wapo bongo tatizo mitaji mikubwa hawana...
Kama wazungu na kama ana pesa nyingi ya kufanya hivyo.Kuna Silicon Dar pale kijitonyama na kuna Hub za watoto kama ile ya nani Ndoto Hub.
Pia unaweza mtengenezea Hub mwanao humohumo geto kwake kama wazungu
Mbona wakalimani ni wengi sana. Yule mkalimani katika msiba wa JPM ni mchagga.Weka usahihi wako ili tupime hoja yako na yangu.
Sio sahihi kumfundisha mtoto lugha bali akikua mkubwa eti .Kama watanzania wengi tupo hivyo tutasubiri sana.Nchi haina hadi wakalimani.
Alikosea kidogo watu wakaanza kumchekaMbona wakalimani ni wengi sana. Yule mkalimani katika msiba wa JPM ni mchagga.
Angekuwa korea kusini washa mtia kitanzi hawatakagi ujinga.Alikosea kidogo watu wakaanza kumcheka
Jaribu kuwapa watoto wako fursa ya kujifunza masuala mengine ya maana katika maisha mbali na masomo ya darasaniNimesoma comment zenu nyingi snaa bado sijajua ushauri wenu kwa watoto wetu ni upi??