Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
Kwa wale mlio na mapesa benki, na ambao mna vijana wanaotarajia kujiunga vyuoni, nawashauri muwapeleke Daystar University. Kauli mbiu yake ni "The University with a difference."
Kwanini chuo hicho kina kaulimbiu hiyo? Daystar University ni chuo kikuu kinachojumuisha maadili ya Kikristo katika taaluma. Ni chuo kinachoandaa na kulea viongozi watumishi katika nyanja mbalimbali. Hicho ndicho kinachoifanya Daystar University iwe tofauti na vyuo vingine vya kawaida.
Ukimpeleka mtoto wako Daystar, pamoja na kuwa mahiri katika lugha ya kiingereza, atajifunza masomo ya fani mbalimbali na kujifunza maadili ya kikristo. Wanaojiunga na chuo hicho wanapata nafasi ya kuomba, kumwabudu Mungu na kusikia mahubiri na mafundisho kutoka kwa Watumishi wa Mungu. Jambo hili linasaidia sana kuwafanya wanafunzi wawe na mwenendo mzuri.
Chuo hicho kipo Kenya, kina campus mbili: Athi River na Nairobi. Kinatoa certificates, diploma, degree, Masters na PhDs katika fani mbalimbali za elimu. Chuo kina zaidi ya miaka 40 tangu kianze kutoa elimu. Kimewahudumia maelfu ya wanafunzi kutoka nchi zaidi ya 30.
Daystar University ina zana na vifaa vya kisasa vya kujifunzia masomo, maktaba nzuri, lab za kompyuta, studio ya televisheni na redio, Moot Court kwa wanafunzi wa sheria, maabara ya mafunzo ya uuguzi, kliniki ya wagonjwa, huduma za counselling, nk.
Daystar University inashirikiana na Daystar ya Marekani. Daystar US hutafuta pesa na kuwapa scholarships wanafunzi wanaopata shida kulipia gharama za masomo.
Kama unampenda mtoto wako na unapenda akue katika mwenendo mwema, usiache kumpeleka Daystar University - The University with a difference!
==============
Daystar is a private Christian liberal arts university, meaning its curriculum incorporates Christian principles and values into a broad range of academic disciplines. The university emphasizes the development of not just intellectual capacity, but also moral and spiritual growth, fostering servant-leadership.
Daystar aims to equip students to be agents of change, impacting both the church and society through their professional and personal lives.