Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
- Thread starter
- #41
Mwee. Kwa mtindo huo wa kuruhusu kila msala upitao, nahisi VVU na magonjwa ya zinaa yamepiga kambi ndani yenu na kukuzeesha hadi mahusiano unayaita "hekaheka." Njoo kwa Yesu akuponye na kukupumzisha, upate raha nafsini mwako.Smart911 akikuweza wee fumua tu maisha ndo hayahayaaaa!