Wapelekeni watoto wenu wakasome Daystar University - "The University with a difference"

Kama unaweza go on kiroho safiiii. Na uzee huuu bora nipumzike hizi hekaheka
Najilinda sana nisivunje amri ya 6.
Lakini pia Yesu alitutahadharisha kwamba "Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe(Mt 19:6)

Lakini kama wewe sio mke wake wa kwanza, achana naye leo leo, vinginevyo mbingu utaikosa!
 
Nimetoa go ahead tu miye!! Kwamba Mkiwezana barida!

Try him achana na mambo za siasa za dini!
 
Umesomea huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…