Mwee. Kwa mtindo huo wa kuruhusu kila msala upitao, nahisi VVU na magonjwa ya zinaa yamepiga kambi ndani yenu na kukuzeesha hadi mahusiano unayaita "hekaheka." Njoo kwa Yesu akuponye na kukupumzisha, upate raha nafsini mwako.Smart911 akikuweza wee fumua tu maisha ndo hayahayaaaa!
Hahahaha.Mwee. Kwa mtindo huo wa kuruhusu kila msala upitao, nahisi VVU na magonjwa ya zinaa yamepiga kambi ndani yenu na kukuzeesha hadi mahusiano unayaita "hekaheka." Njoo kwa Yesu akuponye na kukupumzisha, upate raha nafsini mwako.
Hadi smart leo kaamua amtolee uvivu ππ
Hata mimi nimeshangaa sana πππHadi smart leo kaamua amtolee uvivu ππ
Alituambukiza yeye ndiyo maana anakumbuka... Hahaha...Hahahaha.
Pole kwa kuteseka na magonjwa yetu.
Nam challenge tu wala sinaga ubaya na member yoyote...Hadi smart leo kaamua amtolee uvivu ππ
ππππAlituambukiza yeye ndiyo maana anakumbuka... Hahaha...
Huna ubaya nao ilhali wao wanakuchafuaπππ!!!Nam challenge tu wala sinaga ubaya na member yoyote...
Inaonekana hii lugha imekupita kando, vinginevyo ungeelewa kwanini naipigia debe DU.