Wapemba Mungu anatuona, nakataliwa kuoa kisa nimekulia Bara

Nashangaa watu wanavyo mwambia ampe Mimba huyo binti atapotea hao ushirikina kwao kama urojo wanaupenda.
Tena hawanunui uchawi,,,wanafunguwa CHUPA MOJA tu...ktk chupa 100 ZA MAJINI..wanayoyafuga,,,UNAPIGWA kijini SHOGA,,,,UKIONA KIDUME KINA NDEVU TU..,,unaanza KUKATA VIUNO....usicheze nao hao WAPEMBA,,,NUKSI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akhy mimi nilikuwa nikifundisha dini hiyo familia
 
Akhy mimi nilikuwa nikifundisha dini hiyo familia
 
Tena hawanunui uchawi,,,wanafunguwa CHUPA MOJA tu...ktk chupa 100 ZA MAJINI..wanayoyafuga,,,UNAPIGWA kijini SHOGA,,,,UKIONA KIDUME KINA NDEVU TU..,,unaanza KUKATA VIUNO....usicheze nao hao WAPEMBA,,,NUKSI

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hao viumbe ukiwapangisha nyumba wakiipenda wanalusha kijini kimoja mwenyewe una uza nyumba ni nuksi kweli kweli.
 
Una tetea uwongo hao wapemba wanao sema bora mlevi wa pemba kuliko shekhe wa bara kwanza wanatuita machogo na hawataki watoto wao wazae vichwa kama jiwe utaozeshwa vipi ubaguzi kwao upo kwenye damu hata uende na utaratibu utapigwa tu.
 
pole yakhe,,,,sasa ammi huko pemba c ndo naskia kuna dini sana,,imekuaje tena sasa haya mambo,,!!!
Pemba kuna dini ya mazoea na si dini yakujifunza [taaluma], pamoja nakufanzia kazi yale ulojifunza
 
Kiukweli kimalezi wanajitahidi mkuu hapo hawajasingiziwa na hata bikra kule zipo nyingi ukifananisha na huku bara!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA ULIVYOZUNGUMZA NA MAALIM SEIF ANASEMAJE KUHUSU HILO ?

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 


Huyo binti atakuwa kichaa na si mzuri kwako kuoa. Ni kweli mnapendana kama usemavyo, kikwazo kwenu ni wazazi wake wasiokutaka, sasa kwanini binti akuwekee gundu wewe? Yaani hataki wewe uoe ila uwe single tu maisha yako yote, je yeye akiolewa na mtu mwingine aliyekulia Pemba bado atataka wewe uwe single? Tatizo la nyie kutokuoana si wewe ila ni wazazi wake, kwani halijuwi hili?
 
Wewe ushakuwa mpembara sio mpemba tena. Nasikia ukija bara unauasi upemba
 
Kwahio km wanateswa na jeshi la Bara ndio wachukie watu wote? Mm siwahukumu wapemba kwa Hadithi za kuambiwa, ninawajua kiundani.. Wapemba wapo very Judgemental kwa mtu yyte ambae hajakulia Pemba! The moment ukiwaambia unatokea Bara wanakuona hufai na MUHUNI tu kisa umekulia nje ya Pemba😁 hata kwenye kuowa na kuolewa wanaprefer Partner ambae ana asili ya Pemba japo kwa mzazi mmoja. Wapo ambao Wamejaa majungu na Husda wenyewe kwa wenyewe kutwa kuoneana choyo na wapo ambao wanapendana na wameshikamana. wana mazuri yao pia, ni watu wakarimu na waaminifu. Pemba ni sehem iliotulia sana, hakuna fujo ya aina yyte, wala hakuna wizi kule,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…