Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
HahahahaYakhee..!!asa sie wapemba
twasema shehe wangu
huoi ntonto wetu ng'oo,
Weye wakulia bara yakhe,
Hatukutaki uku zenji,
kaoe hao kina
Amber rutty,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaYakhee..!!asa sie wapemba
twasema shehe wangu
huoi ntonto wetu ng'oo,
Weye wakulia bara yakhe,
Hatukutaki uku zenji,
kaoe hao kina
Amber rutty,
Tena hawanunui uchawi,,,wanafunguwa CHUPA MOJA tu...ktk chupa 100 ZA MAJINI..wanayoyafuga,,,UNAPIGWA kijini SHOGA,,,,UKIONA KIDUME KINA NDEVU TU..,,unaanza KUKATA VIUNO....usicheze nao hao WAPEMBA,,,NUKSINashangaa watu wanavyo mwambia ampe Mimba huyo binti atapotea hao ushirikina kwao kama urojo wanaupenda.
Akhy mimi nilikuwa nikifundisha dini hiyo familiawengi mtawalaumu sana Wapemba hapa kwa maneno ya kuambiwa tu, huyo kijana nina hakika hakufuata taratibu inaonekana amekuwa akimla binti wa watu kwa muda mrefu sasa na anaenda kuomba wazazi kumhalalishia sasa, kwa wapemba hilo ni tusi kubwa sana hawawezi kukuozesha binti yao katika baadhi ya masuala wapo serious sana sababu, Namshauri kijana wetu afate utaratibu, wapemba wana kawaida ya kuchunguza mume na familia yake kabla hawajakupa binti yao, inawezekana kijana wetu pia ana mapungufu (ulevi uzinzi) na wazazi wameshashituka. Unajua kule kila ukikaribia uchaguzi wanapelekwa Jeshi kutoka Bara na wanawapiga na kuwauwa sana, kuwanyanyasa sana kwa misingi ya kidini na kuona wanapambana la Alshabab labda, chuki ndio zimeanza huko na zinaendelea, siku ukienda ndio utajua jamaa wanaishi kwa nguvu za Mungu huku diaspora waki play important part, hakuna serikali (ya Zanzibar ama Tanganyika) inayowajali. Mnaoita nyinyi ubaguzi umeanza mbali sana kwa watu wa Bara.

Hahahaha hao viumbe ukiwapangisha nyumba wakiipenda wanalusha kijini kimoja mwenyewe una uza nyumba ni nuksi kweli kweli.Tena hawanunui uchawi,,,wanafunguwa CHUPA MOJA tu...ktk chupa 100 ZA MAJINI..wanayoyafuga,,,UNAPIGWA kijini SHOGA,,,,UKIONA KIDUME KINA NDEVU TU..,,unaanza KUKATA VIUNO....usicheze nao hao WAPEMBA,,,NUKSI
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unang'ang'ania nini si ubakie huko usukumani tu au unyamwezini kwani lazima zanzibar?Na uchawi juuu, kila saa kuchoma udi. Kuna duka la mpemba nilinunua makate nikashindwa kula kisa hayo mause.nge wanayochoma na majini yao
Una tetea uwongo hao wapemba wanao sema bora mlevi wa pemba kuliko shekhe wa bara kwanza wanatuita machogo na hawataki watoto wao wazae vichwa kama jiwe utaozeshwa vipi ubaguzi kwao upo kwenye damu hata uende na utaratibu utapigwa tu.wengi mtawalaumu sana Wapemba hapa kwa maneno ya kuambiwa tu, huyo kijana nina hakika hakufuata taratibu inaonekana amekuwa akimla binti wa watu kwa muda mrefu sasa na anaenda kuomba wazazi kumhalalishia sasa, kwa wapemba hilo ni tusi kubwa sana hawawezi kukuozesha binti yao katika baadhi ya masuala wapo serious sana sababu, Namshauri kijana wetu afate utaratibu, wapemba wana kawaida ya kuchunguza mume na familia yake kabla hawajakupa binti yao, inawezekana kijana wetu pia ana mapungufu (ulevi uzinzi) na wazazi wameshashituka. Unajua kule kila ukikaribia uchaguzi wanapelekwa Jeshi kutoka Bara na wanawapiga na kuwauwa sana, kuwanyanyasa sana kwa misingi ya kidini na kuona wanapambana la Alshabab labda, chuki ndio zimeanza huko na zinaendelea, siku ukienda ndio utajua jamaa wanaishi kwa nguvu za Mungu huku diaspora waki play important part, hakuna serikali (ya Zanzibar ama Tanganyika) inayowajali. Mnaoita nyinyi ubaguzi umeanza mbali sana kwa watu wa Bara.
Pemba kuna dini ya mazoea na si dini yakujifunza [taaluma], pamoja nakufanzia kazi yale ulojifunzapole yakhe,,,,sasa ammi huko pemba c ndo naskia kuna dini sana,,imekuaje tena sasa haya mambo,,!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Tena hawanunui uchawi,,,wanafunguwa CHUPA MOJA tu...ktk chupa 100 ZA MAJINI..wanayoyafuga,,,UNAPIGWA kijini SHOGA,,,,UKIONA KIDUME KINA NDEVU TU..,,unaanza KUKATA VIUNO....usicheze nao hao WAPEMBA,,,NUKSI
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi kuishi pemba? au umewahi kukaa na jamii za kipemba?Kuna sababu unaijua mwenyewe hoja yako haina mantiki labda mahari au dini na tabia ndio vikwazo
Inshort Wazanzibari ni wapumbav sana... (wapemba + waunguja) Wanajiona wao ndo wapo perfect, wana malezi mazuri na wameshika dini, ila sisi tuliokulia Bara tunaonekana makafiri, malaya, hatuna malezi na maadili. Wao wenyewe wanabaguana pia... Wapemba Vs. Waunguja. Wapemba wana matatizo sn
KWA ULIVYOZUNGUMZA NA MAALIM SEIF ANASEMAJE KUHUSU HILO ?wanajukwaa salamu kwenu
Mimi ni kijana wa kipemba nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba. Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake na mda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote...
Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini
wanajukwaa salamu kwenu

Wewe ushakuwa mpembara sio mpemba tena. Nasikia ukija bara unauasi upembawanajukwaa salamu kwenu
Mimi ni kijana wa kipemba nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba. Kibaya zaidi binti kaapa kuwa asipoolewa na mimi basi kifo ndio kheri yake na mda si mrefu alikuja home kwetu na amenambia akisikia nimeoa basi atahakikisha siishi kwa amani maisha yangu yote...
Binti nampenda na yeye ananipenda zaidi ya sana na hata sijui lakufanya tafadhali nishaurini
Mkuu hao wote mabikra mpaka ndoaPole mkuu..mpe mimba wenyewe watkuozeaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Sababu ya kukulia bara ni nyepesi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
wengi mtawalaumu sana Wapemba hapa kwa maneno ya kuambiwa tu, huyo kijana nina hakika hakufuata taratibu inaonekana amekuwa akimla binti wa watu kwa muda mrefu sasa na anaenda kuomba wazazi kumhalalishia sasa, kwa wapemba hilo ni tusi kubwa sana hawawezi kukuozesha binti yao katika baadhi ya masuala wapo serious sana sababu, Namshauri kijana wetu afate utaratibu, wapemba wana kawaida ya kuchunguza mume na familia yake kabla hawajakupa binti yao, inawezekana kijana wetu pia ana mapungufu (ulevi uzinzi) na wazazi wameshashituka. Unajua kule kila ukikaribia uchaguzi wanapelekwa Jeshi kutoka Bara na wanawapiga na kuwauwa sana, kuwanyanyasa sana kwa misingi ya kidini na kuona wanapambana la Alshabab labda, chuki ndio zimeanza huko na zinaendelea, siku ukienda ndio utajua jamaa wanaishi kwa nguvu za Mungu huku diaspora waki play important part, hakuna serikali (ya Zanzibar ama Tanganyika) inayowajali. Mnaoita nyinyi ubaguzi umeanza mbali sana kwa watu wa Bara.