Wapenda hiphop tusemezane ukweli hapa

Wapenda hiphop tusemezane ukweli hapa

Nilitaka kujitahidi kuwaelewa lakn nikashindwa.
Raindrop(drip),drop top(top)
Smokin' on Cookie in the hotbox(cookie)
Fvckin' ur bitch she a thot,thot,(Thot)
Cookin' up dope in the Crockpor(Pot)
We came from nothin' to somethin' nigg*s(hey)
I dont trust nobody grip trigger(nobody)
Call up the gang and they come get and get U(gang)....Hii inaitwa Bad and Boujee by the Migos,Alaf uitafute na Narco alaf utanambia ariff.
 
Mwezi uliopita kwa wale wafatiliaji na wapenda mziki wa hiphop kutokea majuu huko USA nadhani mlifatilia Tuzo za BET

Ila tangu Tuzi hizo zifanyike niliwaza mengi, kwenye category moja ya Upcoming Artist ambapo alishinda Lilbaby na sio Juice World

Hivi ni kweli Lilbaby mkali kuliko Juice World?
DIZASTA VINA ALISTAHILI.
 
Mimi ni Old skul katika BET huwa nafuatilia category za LIFE TIME ACHIEVEMENT AWARDS na ile ya HUMANITARIANS lkn huwa nipo interested na host wa show coz majority huwa wanakuwa ni old skul.

Kiufupi hakuna mwaka huwa naikosa BET Awards hasa kwa sababu orgin yake ni Soul Train chini ya host mwenye sauti nzito Donald!!!
 
Yani hiphop ya siku hizi kama imeharibiwa radha imepotea kabisa
Exactly kabisa mkuu. Huyo lil baby naye ni moja ya mumble rappers wazee wa kumung'unya maneno pamoja na gunna.

Nashindwa kuelewa walilompa tuzo ya hip hop sijui walitumia vigezo gani? Kumruka mtu kama joyner lucas, token, hopsin, j cole, tech9ine nk kisha tuzo iende kwa lil baby kiujeje tu?
 
Raindrop(drip),drop top(top)
Smokin' on Cookie in the hotbox(cookie)
Fvckin' ur bitch she a thot,thot,(Thot)
Cookin' up dope in the Crockpor(Pot)
We came from nothin' to somethin' nigg*s(hey)
I dont trust nobody grip trigger(nobody)
Call up the gang and they come get and get U(gang)....Hii inaitwa Bad and Boujee by the Migos,Alaf uitafute na Narco alaf utanambia ariff.

Yeah yeah yeah yeah yeah

My bitch is bad to the bone /
Huh wait these niggas watching I swear to god they be my clone /

Switch my hoes like my flows/
Switch my flows like my clothes/

Keep on shooting gun don't reload/
Oh oh now she wanna fvck with my crews/
 
Hii ni verse ya yule shoga Lil uzi vert yani HIPHOP ya sasa kichefuchefu tu
 
Back
Top Bottom