kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
hakuna kitu Bora nikomae na Nabii mweusi ya balozi wa gheto.Hahahaha unakuta mtu katulia eti anamskiliza young killer
Young killer ni lulu aliyemuua kanumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna kitu Bora nikomae na Nabii mweusi ya balozi wa gheto.Hahahaha unakuta mtu katulia eti anamskiliza young killer
Young killer ni lulu aliyemuua kanumba
Lil Nas X ndo spika yake ishaondolewa mdundo,But Lil uzi vert sijui kwakweli.Kwa ile mikato yake anayo gongelea nakubaliana na wewe kua mshkaji ni bwabwa
Huyo hapo...[emoji846]Kwa ile mikato yake anayo gongelea nakubaliana na wewe kua mshkaji ni bwabwa
Mwambie Aongezee na Lil Dick,Lil Peep na Lil Uzi vert,,Inaonekana chalii anachukia Trap music in general maana wote hao aliowataja wanafanya TrapKuna lil peep na lil pump yani hawa uimbaji wao ni wa ovyo sana
Oohoo kavaa kidemu vile!!??Chakula kitamu uyu chalii asee!!Huyo hapo...[emoji846]View attachment 1169325
Hehehe..Cause the money come all out the roof..//Yeah yeah yeah yeah yeah
My bitch is bad to the bone /
Huh wait these niggas watching I swear to god they be my clone /
Switch my hoes like my flows/
Switch my flows like my clothes/
Keep on shooting gun don't reload/
Oh oh now she wanna fvck with my crews/
Gucci mane ni trap lord, anapiga trap lakin sio kama za hao madogo ambao hata kuelewa anachomaanisha ni mpaka uone lyrics kwanza.Mwambie Aongezee na Lil Dick,Lil Peep na Lil Uzi vert,,Inaonekana chalii anachukia Trap music in general maana wote hao aliowataja wanafanya Trap
Ghetto amberssadorhakuna kitu Bora nikomae na Nabii mweusi ya balozi wa gheto.
Hao wanaitwa mumble rappers ni ngumu sana kuwasikia wanachokiimba bila lyrics mfano lil baby na gunnaGucci mane ni trap lord, anapiga trap lakin sio kama za hao madogo ambao hata kuelewa anachomaanisha ni mpaka uone lyrics kwanza.
Trap haijaanza miaka hii ipo kitambo... TI, Young Scooter, BOB,Asap Ferg, nk hawa wote ni mafundi wa trap lakin sio hawa madogo mumbles rappers
Ahaaaaaah labda kwa mashoga mombasaushawishi wa kiba kwenye music industry worldwide ni mkubwa sana.
Na kwa mashoga wa MarekaniAhaaaaaah labda kwa mashoga mombasa
Umepanic na kikongwe wako kimbaNa kwa mashoga wa Marekani
Teh [emoji1][emoji28]Lil nayemjua ni Lil Wayne peke yake
Hawa wengine sijui
Lil yatch
Lil biby
Lil nas x
Lil pump
Lil baby...
Ni kina Lilian tu
Kikongwe yupi mkuu ?Umepanic na kikongwe wako kimba
Drake mzee wa Ghost writers sio ?Achaneni na mumble rappers, drake ametoa album inaitwa care package ni bonge moja album