Make sure unaingia Mbinguni, Iko ndani ya uwezo wako.
Mbinguni Kila kitu ni chenye uhai,
Maua ya kule Yana uhai, unaweza kuongea nayo, yanachipua na kumwagiliwa na mto wa Uzima, yanakua na kujua na kutambaa ukiyaona, ni uumbaji juu ya uumbaji.
Maua yote yanamsifu Mungu. Maua ya Mbinguni yamevikwa uzuri zaidi ya mavazi aliyowahi kuvaa mfalme Sulemani.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN