Wapenda maua mje basi na maua yenu

Wapenda maua mje basi na maua yenu

Attachments

  • Screenshot_20241206-203643_1.jpg
    Screenshot_20241206-203643_1.jpg
    412.7 KB · Views: 2

Attachments

  • Screenshot_20241206-204108_1.jpg
    Screenshot_20241206-204108_1.jpg
    375.9 KB · Views: 2
Make sure unaingia Mbinguni,
Iko ndani ya uwezo wako.

Mbinguni Kila kitu ni chenye uhai,

Maua ya kule Yana uhai, unaweza kuongea nayo, Yanachipua na kumwagiliwa na mto wa Uzima,

Yanakua na kutambaa ukiyaona, ni uumbaji juu ya uumbaji.

Maua yote yanamsifu Mungu.

Maua ya Mbinguni yamevikwa uzuri zaidi ya mavazi aliyowahi kuvaa mfalme Sulemani.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
 
Make sure unaingia Mbinguni, Iko ndani ya uwezo wako.

Mbinguni Kila kitu ni chenye uhai,

Maua ya kule Yana uhai, unaweza kuongea nayo, yanachipua na kumwagiliwa na mto wa Uzima, yanakua na kujua na kutambaa ukiyaona, ni uumbaji juu ya uumbaji.

Maua yote yanamsifu Mungu. Maua ya Mbinguni yamevikwa uzuri zaidi ya mavazi aliyowahi kuvaa mfalme Sulemani.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Barikiwa sana...nimepokea maoni mema
 
Attachments

  • Screenshot_20241206-203902_1.jpg
    Screenshot_20241206-203902_1.jpg
    465.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom