Wapenda Soka mnawaelewa TBC?

Wapenda Soka mnawaelewa TBC?

Wapenda Soka wote salaam.

Hivi hawa TBC mnawaelewa Ndugu zangu?.

Mbona ubora wa hii mechi wanayo onyesha upo Chini sana.

Kama ubora wa picha upo hivi basi hadi Kombe la Dunia liishe tutakuwa na Malienge.


Very poor quality of picture.
Mkuu umenichekeshaaa daah..Ndio mambo ya ndugu Ryoba hayo🤣
 
Labda ni TV yako wanaonyesha kwa ubora wa hali ya juu

Hongereni TBC

Tafadhali usipotoshe
 
Hiyo ni tv ya taifa Mzee acha kulalama; kuwa mzalendo japo kidogo.
 
Sio kweli,wako vizuri sana! HD imetulia,kwenye sifa tusifie...
 
Labda ni TV yako wanaonyesha kwa ubora wa hali ya juu

Hongereni TBC

Tafadhali usipotoshe
Acha uongo.
Nimetest inaonesha mawenge wenge kinoma.

Nimewahurumia wanaoitegemea TBC kuona kombe la Dunia
 
Back
Top Bottom